makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,544
- 108,788
Kwa kweli.Niliwahi kutamani kumuona adeyemi katika uzi wa arsenal, naona kaishaenda barca anakiwasha..
Basi hata guirassy anaweza akatufaa pale mbele ni bora kuliko gyokeres na kai..
Kaka kwaio huyo Jesus hana mapungufu kabisa? Sasa mbona Guardiola alimuacha akaleta HaalandArteta kuna makili zake haziko sawa
Kwenye soka la kisasa unaweza ukawa na vingi sana ila kama ukiwa hauko available mda mwingi thamani yako inashuka
Partey alikua mzuri
Jesus alikua mzuri
Tulikua na Tomiyasu
Hao wote injury imefanya tuwape mkono wa kwa heri
Palmer na Madueke wote ni mizigoNakumbuka madueke alipoitwa kwenye kikosi cha uk kwenye WC mlimponda sana Palmer, vp this time mnalipi la kusema.?
Anyway, chelkenge ni chelkenge tuu
Madueke amekuwa mzigo kipindi hiki au hata kwenye WC?Palmer na Madueke wote ni mizigo
MZigo siku zote tangu yupo kwenu, anasajiliwa kuja Arsenal, anaitwa WC, anarudi bado miyeyusho.Madueke amekuwa mzigo kipindi hiki au hata kwenye WC?
Tutawapokea Brighton jinsi watakavyokuja, waje kihuni tunaruka nao maje kisatqarabu basi tutawafundisha soka safiKikosi kimetoka Timber ameanza, na Bruno ameanza.
With Bruno tuna physical na technical presence kwenye kiungo na hapohapo tuna long shots taker. Pia ni mzuri wa long balls huyu jamaa.
Wingers ni walewale, Tzolis na Saka, AM ni Odegaard.
Hata hivyo nafikiri ilibidi Gyokeres awepo kama Bruno yupo kwakua Bruno siyo mvivu kufanya through balls na long balls.
Kikosi cha Brighton kipo vizuri pia wana Paschal, Kostoulas, Gomez na Cuyper. Wana defense ambayo ina CB pairing inayojuana huku Vuskovic akiwa na sifa ya ziada ya ball playing defender.
On paper kila timu ina chance so kinachobaki ni kwa makocha kua superior technically. Kama tutaacha possession na kufocus na ushindi ni sawa pia kwakua Tzolis ana pace ya kutumika kwenye transition au counter. Shida ni kwamba hatuna mwingine in practice ingawa on paper wapo Odegaard na Saka.
ST wetu bwana Kai sina cha kumsemea. Ambacho ni weakness kwake yeye anakigeuza na kuscore. So tusubiri tuone.
Baada ya hii game tunaenda kwenye international break so ni muhimu kushinda hii mechi kivyovyote.
Let's go