Hongereni sana Gooners wenzangu......
Thank God tunamaliza mwaka tukiwa katika Top Four...
Nawatakia Heri ya mwaka mpya 2012.....
happy new year 2012!
Hongereni sana Gooners wenzangu......
Thank God tunamaliza mwaka tukiwa katika Top Four...
Nawatakia Heri ya mwaka mpya 2012.....
Merci.....Nawe pia Bala, what a year, what a tournament, what a life!
God Bless
Thank God tumerudi tunapostahili......Top Four
matokeo ya match za Leo mazuri .. happy new year wakuu .
Kweli asante RVP, ila bila golikpa, mabeki, midfieder kufanya kazi zao, RVP asingeweza kuwika hivi. AW, RVP bonge la striker, ila its a team game broHatimaye tumemaliza mwaka tukiwa Top 4.
Asante sana Van Persie.
Hatimaye tumemaliza mwaka tukiwa Top 4.
Asante sana Van Persie.
Raha tupu,we are not paying attention but attention pays us and that is why hata tuki-draw everybody wants to smell the rat.Nakumbuka tulipodraw na Wolves wapinzani walijaa humu kama tumeshuka daraja. Leo wapigwa tatu tatu basi kimyaaaaa :lol:
Leo nna furaha sana. I'll drink to this. Man Utd. lost (at home), Chelsea lost (at home), Totenham has drawn, Arsenal WON. What a great way to end the year. HAPPY NEW YEAR GOONERS
Hongera Arsenal!
Thanx kwa Van P!
Thanx kwa Ashavin aliyeasist!
Boo kwa Walcot na Gervinho!
Ila kama tungeshinda game 2 zilizopita ingekua very interesting, sijui vijana wanakua hawawezi kuhimili pressure au... huwa inanichanganya akili kweli, sana tu!
Tuombe dua mkuu Wenger afanye mambo kukaza sehemu ndogo ndogo kwenye dirisha hili la january, manake naona kombe halina mwenyewe hili mwaka huu.
Kiufupi leo match official,Martin Atkinson hakuwa makini,katunyima penalt ya wazi kabisa kwa ile foul ya Luke young na ili kuthibitisha kutokuwa makini kwake,kafanya mistaken identity,kosa afanye koscienly kadi kapewa Vermaelen!Mkuu tunapigwa vita kila upande fuatilia clear penalties tunazonyimwa hizo mechi mbili na ya leo vile vile, kulikuwa na mkakati RVP asivunje record ya Alan lakini sisi ni Gunners tunasonga mbele ... ... patachimbika tu mwaka huu ...