Tuletee takwimu za Pepe halafu fananisha na Neto unadharau zakijinga sana kijana huyo Madueke alikimbia namba kwa NetoNeto ni mchezaji machachali, hakuna mtu mule.
Mchezaji kama huyo arsenal alikuwepo alikua anaitwa Nicolus Pepe
Unajichosha, tunakushangaa una utimamu hlf unabishana na hawa watu!! Huyo Rogers aliwakataa unategemea wasemeje kuhusu yeye, waulize pia kuhusu Mudryk na vile aliona kuwakataa haitoshi akawatungua mgoli wa video, hawampendiiiTuletee takwimu za Pepe halafu fananisha na Neto unadharau zakijinga sana kijana huyo Madueke alikimbia namba kwa Neto
Dah nimecheka sana 🤣Unajichosha, tunakushangaa una utimamu hlf unabishana na hawa watu!! Huyo Rogers aliwakataa unategemea wasemeje kuhusu yeye, waulize pia kuhusu Mudryk na vile aliona kuwakataa haitoshi akawatungua mgoli wa video, hawampendiii
Madueke tu kaenda kumueka Saka benchi, sahivi ndio supa staa wao na wakati akiwa chelsea walikua wanamponda, unaona ni wazima hao.
Ingia youcine au fawanews.Naombeni link ya kustream
Yaani nyie mashabiki wa Arsenal mna shida mahala, yaani fear facter kwa Arsenal hii nayoiangalia?! au kuna Arsenal nyingineUnaona kwenye huu uzi hakuna anayekuja kusema tunafungwa?
Hiyo inaitwa fear factor.
Wapinzani hawana uhakika na matokeo against Arsenal.
Hamna mchezaji humo, mlikua mnamsifia sana hapa kisa mechi moja tena dhidi ya Coventry, mtamkumbuka TrossardTzolis namuona ni martineli asiye dribble huku anatizama chini, anatumia mguu wa kushoto. Mwepesi kumwaga maji, lakini ana u martineli
Kanipa mashaka tayari, ila nimeona dalili mbayaHamna mchezaji humo, mlikua mnamsifia sana hapa kisa mechi moja tena dhidi ya Coventry, mtamkumbuka Trossard
wewe yako UHARO mtupuYaani nyie mashabiki wa Arsenal mna shida mahala, yaani fear facter kwa Arsenal hii nayoiangalia?! au kuna Arsenal nyingine
Yaani mnavyoizungumziaga Arsenal kama kuna timu ndio siku ya kwanza kuingia duniani wakasikia hizo tambo wanaweza wasipeleke timu uwanjani. kumbe mashuzi matupu.
Ebu tulia wewe ajuza.wewe yako UHARO mtupu
Ni factor siyo facter.Yaani nyie mashabiki wa Arsenal mna shida mahala, yaani fear facter kwa Arsenal hii nayoiangalia?! au kuna Arsenal nyingine
Yaani mnavyoizungumziaga Arsenal kama kuna timu ndio siku ya kwanza kuingia duniani wakasikia hizo tambo wanaweza wasipeleke timu uwanjani. kumbe mashuzi matupu.