Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado nina uwezo mkubwa wa kuiangalia timu na kuitabiri kuliko Hziyech22

Ndiyo sababu takes zake baadhi juu ya wachezaji hua sikubaliani nazo. Spurs is falling
Ndio ni mechi ya pili usimalize kila kitu team tatu tu zinaubora Zaidi ya Spurs ni Chelsea, Arsenal na Man City. Angalia kiwango cha Liverpool na Man U hawapo kwenye level ya Spurs ndio maana nikaongea hivyo
 
Unaongelea ushabiki. Ila ni vizuri ili niwe natumia kauli yako kama reference kwamba Chelsea ni bora kwa sasa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…