Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Juzi nilikuja nasema nimesoma online kwamba Rajabu bila hilo goli alikua mzururaji. Mimi sikuangalia mechi. Hziyech22 akasema namba zake kwakua anaanza siyo mbaya.

Namba zake zilikua haziachani na goal scorer wa Fulham, Joshua King, jana yamejirudia.

Baada ya mechi 6 tujiandae kuona matusi
 
Mkohoti

James Garner

Huyo pimbi mnaye hadi 2033. Huu upuuzi wake wa kujifunga, red za kipimbi na kuumwa kuhara mtadeal nao kwa miaka 7
Umetoa maoni yako kwa ushabiki Caicedo ni best defensive midfielder in the world huwezi kumjudge kwa hiyo mechi moja ukitoa hiyo red card, red ipi nyingine kapata kwenye huo msimu??hata Leo tukisema tumuweke sokoni hatukosi chini ya pound 150m+ vilabu vyote vikubwa vitamuwania
 
Moja kati ya signing bora tuliofanya ni kumsajili huyo dogo Morgan ili ujue ubora wake kaangalie mechi usije ukalishwa matango poli Jamaa anajua muda upi aingie kwenye box na muda upi awe provider wa team hiyo mechi ya Fulham kaweka record ya kuwa mchezaji aliyetengeneza nafasi nyingi za goal na sio tu anatengeneza nafasi anatengeneza nafasi kiufundi pia anaisaidia team kwenye ukabali kitu ambacho ujui ni kwamba Morgan Rogers tumeanza kumfuatilia misimu miwili iliyopita kila dirisha lazima tuhusishwe nae sio kwasababu nyinyi mlimtakani ni kwasababu ana uwezo wakucheza nafasi tatu tofauti LW, AM na RW kama Palmer akiumia Rogers ndio atakuwa no 10 na mateso yataendelea kama kawa kwasababu anajua kutengeneza nafasi na kufunga magoal kitu ambacho kilitukwamisha msimu uliopita ingawa Enzo alijitahidi kuziba nafasi ya Palmer lakini sio mchezaji wakutengeneza nafasi nyingi mchezoni kama alivyokuwa anafanya Palmer
 
Labda siyo vilabu vya mpira kuna vingine umemaanisha.

Kwani Caicedo kupata red ni mara yake ya kwanza? Mi nimesahau hapa tunazungumzia msimu upi
 
Duh yaani mmezoea mateso hadi unatamba mateso yataendelea
 
TBT miaka 15 iliyopita Wenger orphans tuliwafanya kitendo kibaya sana hawawezi kusaau maisha yao yote

Tulipiga kama ngoma
 

Attachments

  • 1787915681779.jpg
    318.1 KB · Views: 1
Leo, tar 29/08/2026.

Around saa 13:15 (saa Saba na robo mchana )

David Ornstein kupitia TNT Sports

YouTuber allimuuliza Kuna chance ya asilimia ngapi Alvarez kwenda Arsenal?

ORNSTEIN: “At the time of reporting, it’s a low chance that he will come to Arsenal, because he’s had his heart set on Barcelona.

Atlético have closed the door to Barcelona — that won’t happen. They would do a deal with Arsenal, and Arsenal are prepared to reach an agreement club-to-club.

But they would want the player to want to join them, and he’s shown no indication of wanting to at this point.He’s spoken to Mikel Arteta and said he doesn’t want to come.

That could change — could he soften in the days ahead?These situations are always movable feasts, so I don’t want to pin my colours to the mast and say it won’t happen.

But right now it’s not developing in the way that some have suggested.I think that would be the target for Arsenal — Julián Álvarez — and if they don’t get him, maybe they go with what they’ve got. But we don’t know until the deadline.”

Your browser is not able to display this video.
 
Ukiachana na uwezo wake, haiondoi ukweli wa kwamba deal la alvarez kuja arsenal ni biashara kichaa

Mchukue Rashford kwa mkopo tusubiri fursa huko mbele
Au tuwe tumefunga usajili tuonane january
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…