Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Reece James, Moi Caicedo, Joao Pedro, Cole Palmer na Colwil
Nimeakuambia nitajie wachezaji wewe ukaamua ulopoke tu

Palmer aanze alafu odegard au Eze atokee bench?

Caincedo over Rice! Tena mlimpambanisha na rice lakini maji na mafuta yalijitenga, kila mtu anajua hasa game tulizokutana head to head

Cowil over carafiori? Broo upo serious kweli?

Huyo Reece james anamtoa nani pale arsenal ili aanze yeye? Bruno G?
 
Reece James, Moi Caicedo, Joao Pedro, Cole Palmer na Colwil
James akiwa fit anacheza tena anaanza timu yoyote kama RB.

Pedro anaweza kupata namba timu yoyote (kutoitwa timu ya Taifa siyo kigezo cha kumuunderrate)

Caicedo hawezi kuanza Arsenal, labda aanzie benchi.

Palmer anawekwa bench timu ya Taifa na wachezaji wa Arsenal kabla ya Tuchel ilikua namba anaanza Saka akitoka Saka ni Madueke.

Colwill ni CB. Wewe unachomaanisha ni kwamba huyu afike Arsenal amuweke benchi Saliba au Magalhaes si ndiyo?

Unajua Arsenal kauza academy CB na kaenda kua starter united? Na dogo yupo vizuri ila aliona hawezi kupata minutes?
 
Huna timu ya kucheza mechi kila siku tatu.

Kwa sasa hauna timu ya kushindana na Arsenal
Ukitaka kujua ligi ya Malkia haitabiriki, muulize shabiki wa Liverpool aliyeshuhudia timu yake msimu wa 2024/25 alivyokuwa na matarajio ya kutawala ligi kwa miaka 10 mfululizo na alipoishia msimu wa 2025/26 tena baada ya maingizo bora kabisa.

Tujipe muda mkuu
Saint Anne Captain Marvelous
 
Ndiyo mashabiki wenzako wamejiuliza kama wakubali ukweli kua jamaa ni one season wonder.

Msimu wa 23/24 cole palmer alikua ni mchezaji aliyefunga penati nyingi.
 
Arsenal kajikombe kimoja tu wanamaliza maneno
Kakombe walikokaa miaka zaidi ya 20 hawana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…