Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,359
- 5,151
download cricfy apk ule maisha games zoteMwenye link ya kucheki mech ytu anisaidie
Hiyo interview ya gyokeres ni ya zaidi ya wiki nyuma ilipostiwa na skysport, kama kumbukumbu zangu ziko vzr n kwamba gyokeres hakujua kama kuna kombe la community dhidi ya city hvy alikuwa ana shangaa kuambiwa kuna kombe wiki ijayo (leo) akauliza hiyo n mechi ya kirafiki? muandishi akasema n kombe liko uwanjani.Leo tuna mechi ya community shield dhidi ya City.
Saliba na Timber bado ni majeruhi ila wengine bado tunao.
Mwandishi wa habari mmoja akamuuliza swali la kizembe Gyokeres, akamuuliza kama anaichukulia mechi ya leo kama friendly. Gyokeres akamshangaa yule mwandishi akamuuliza "Against City? Friendly? What do you mean?"
Mwandishi akabaki kimya. Enzo yeye akasema tu "Kukiwa na kombe toeni stori za friendly"
Kwahiyo leo ni moto.
Naona inazngua kinyama zipo kama tatudownload cricfy apk ule maisha games zote
Mimi sijui kiingereza kaka, ni vyema unayejua umekuja kunieleweshaHiyo interview ya gyokeres ni ya zaidi ya wiki nyuma ilipostiwa na skysport, kama kumbukumbu zangu ziko vzr n kwamba gyokeres hakujua kama kuna kombe la community dhidi ya city hvy alikuwa ana shangaa kuambiwa kuna kombe wiki ijayo (leo) akauliza hiyo n mechi ya kirafiki? muandishi akasema n kombe liko uwanjani.
Waungane tena kama miaka yote watafute wa kutuzuia maana huyu city atakula bakora mwanzo mwishoNiliandika hapa kwamba tukichukua kombe halafu Pep akaondoka tutachukua tena kombe.
Anayeweza atuzuie