Ulitaka tu battle nini kwenye penalty shootout? Kiufupi mpira hujui, yaani hustahili kuchangia chochote humu, mnatia kinyaa na hizi comment zenu nyie laymenNajua unanipamba hahahaha.
Japo kiuhalisia Arsenal last season kilichotubeba ni uwezo wa Jova zaidi kuliko wa Arteta.
Ingawa hilo haliondoi ukweli kuwa bado na hayo mapungufu yetu lakini ndio tulikuwa bora kuliko timu yoyote pale Epl.
Final ya Uefa ndio ilikuja kuonesha uhalisia wa uwezo wa Arteta kwa upande wangu sioni kama tulikuwa na wachezaji dhaifu wasioweza kubattlle na Psg.
Hawa Psg ni mara ya 3 wanatufunga katika mechi muhimu za kuamua.Hii inaonesha ni kwa kiwango gani uwezo wa Arteta ulivyo chini.
Arteta kafungwa na Man city mechi ya final na ya ligi kipuuzi sana.Anapanga kikosi kipuuzi akiwa anakutana na city.
Odegaard katoka majeruhi anaenda kumuweka game na city
Zubi ni DLP lakini haoneshi kabisa kuitaka Mali, no progressive passes, anaogopa ligi maybe, labda msimu ujao anaweza kubadilika, ø huwa simuelewi kiivo lkn mwisho wa msimu nilikuwa nammiss tukimkosa ø maana Zubi alipotea mazima, Build up yetu sikuhizi imekuwa tukimkosa ø basi game over, very predictable, thanks God dogo MLS katurescue hapa mwishoni mwa msimuShida hapo juu hawezi bila ya kubadilika, kwake mpira anauogopa kama umeme,
Unavyokuja ndio unavyorudi kama treni bwana!!!
Box to box kuna muda unachanja mbuga na mali, lazima uwe muongo muongo sana, sifa hizi mbili hana, hiyo ni shida kubwa kwake, afanye mazoezi ajifunze mbinu tofauti tofauti anaweza kuwa bora
Anapaswa kubadilika, apige zoezi la kutosha, kuna vitu akifanyia kazi atakiwa poa, otherwise hatufai.Zubi ni DLP lakini haoneshi kabisa kuitaka Mali, no progressive passes, anaogopa ligi maybe, labda msimu ujao anaweza kubadilika, ø huwa simuelewi kiivo lkn mwisho wa msimu nilikuwa nammiss tukimkosa ø maana Zubi alipotea mazima, Build up yetu sikuhizi imekuwa tukimkosa ø basi game over, very predictable, thanks God dogo MLS katurescue hapa mwishoni mwa msimu
Na hiki ndicho nilikuwa nampendea partey.. hayuko straight, kuna muda atacheza one touch, kuna muda ata turn, ataachia moja, kuna muda atadrible.. atasogeza timu juu.. partey was too good, alikuwa anacheza vile napenda namba 6 icheze, kuna vitu vichache mnoo lakini mengine ni mazuri sana kuficha hayo madhaifu.Zamani tulikuwa na Xhaka, a pass first DM, Jorginho pia, Partey hakuwa mzuri sana ku pass lkn he was built different, a holding mid mwenye uwezo wa Ku progress thru carries in the middle of th park, kuna huyu Xhaka this nigga is gifted, game ya juzi ya uswiss ametisha sn, anazeeka km pirlo, piga pass ile deep lying paka mpira wenyewe unamtii, afu kuna Zubi ambaye yeye haitaki Mali!
Umekasirika?!Walevi hawa. hata michezaji yao yote mpk sasa saliba tu ndio kacheza vizuri, wengine wote mishuzi tu.
Dogo utazimia kuhifadhi hasiraWalevi hawa. hata michezaji yao yote mpk sasa saliba tu ndio kacheza vizuri, wengine wote mishuzi tu.
Xhaka, juzi tu tumemuongelea hapa leo nasikia Chelsea wanamtaka, kama unajua unajua tuZamani tulikuwa na Xhaka, a pass first DM, Jorginho pia, Partey hakuwa mzuri sana ku pass lkn he was built different, a holding mid mwenye uwezo wa Ku progress thru carries in the middle of th park, kuna huyu Xhaka this nigga is gifted, game ya juzi ya uswiss ametisha sn, anazeeka km pirlo, piga pass ile deep lying paka mpira wenyewe unamtii, afu kuna Zubi ambaye yeye haitaki Mali!
Aliondoka mapema sana tena bureXhaka, juzi tu tumemuongelea hapa leo nasikia Chelsea wanamtaka, kama unajua unajua tu
Wanawatia wenzao nuxWachezaji wa hii timu Wanaongoza kwakukosa penalties huko WC..😃
Incase Kenge na nyumbu zimesahauView attachment 3618622
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wapenzi watazamaji.Incase Kenge na nyumbu zimesahauView attachment 3618622
MkohotiView attachment 3619648
Kuna hii Delap ya Swiden imewaponza wenzie, dk. 90 shot moja mamaee.