Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Humu ndani tuliaminishwa Raya ni best in the world.....

Pale Spain ni third choice........ Unai na Garcia wako mbali sana , Raya hatii mguu
Kitu ambacho arsenal hawakupenda kuona ni Raya kuwekwa benchi timu ya taifa, tena chaguo namba 3.
Mlikuwa mnaaminishwa ni nambari moja duniani kwa sasa!

Hizi kenge sijui zililewa maharage ya wapi
 
Humu ndani tuliaminishwa Raya ni best in the world.....

Pale Spain ni third choice........ Unai na Garcia wako mbali sana , Raya hatii mguu
Simon ndiye kocha anampenda na kuona anafaa mfumo wa timu ya taifa. Hata ikiwa Raya akimzidi kidogo kiuwezo, si kiasi cha kutosha kumfanya kocha abadilishe kipa anayemuona anafaa mfumo wake.
 
Walevi hawa. hata michezaji yao yote mpk sasa saliba tu ndio kacheza vizuri, wengine wote mishuzi tu.
Na msimu ujao bado Arsenal tutabeba ubingwa. Mbona hatuna Caicedo, hatuna Fernandes, hatuna Isak na bado sisi ndio mabingwa wa sasa? Tumebeba kombe na kina Martinelli na akina Trossard na akina Ben White huko.
 
Ubingwa gani mmebeba? mbona mnajitoa ufahamu?!
 
Hili la partey niliongea kitambo, zubimendi niliongea kitambo.
Tukabishana bishana kifacts za kishabiki, nikaacha muda uzungumze, mtaokeo yake kweli muda ukasema, hata wale waliokuwa wanamtetea zubi wakaanza kugawanyika, yule zubi wenu ASIPOJIONGEZA msimu ujao atakuwa mzigo, zingatia neno ASIPOJIONGEZA
 
Humu ndani tuliaminishwa Raya ni best in the world.....

Pale Spain ni third choice........ Unai na Garcia wako mbali sana , Raya hatii mguu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa walevi ni wa kuwapuuza tu sio wa kuwazingatia sana, mapenzi kwa hayo magalasa yao yamewafanya mpaka wamekua vipofu, kuna kipindi yalikua yanashupaza shingo na kudai kua Martin Ødegaard ndio best midfielder Epl, tena yakakufuru kabisa kwa kumlinganisha na Bruno Fernandes.
 
Hii akili imekaa kinyumb
 
Kama umeanza kufuatilia mpira zamani na siyo mjinga mjinga utagundua kwamba katika nafasi ngumu kua replaced ni ya kipa.
Uko sahihi. Ni majeraha au makosa ya mfululizo yatafanya upate na nafasi. Na ukionesha uwezo yule namba moja hata akipona hachukui hiyo nafasi hadi uzingue.

Rejea kesi ya Djigui Diarra timu ya Taifa ya Mali. Amesugua sana benchi kabla ya kupewa na nafasi na kuonesha uwezo. Leo ni kipa namba moja wa Mali.
 
Kama umeanza kufuatilia mpira zamani na siyo mjinga mjinga utagundua kwamba katika nafasi ngumu kua replaced ni ya kipa.

Sahihi, mifumo/falsafa za waalimu pia zinachangia awe na mchezaji mwenye profile ya aina gani
 
zubi kufunga anajua sana jamaa.. naona badala ya kumchezesha six ni bora awe anaachiwa uhuru wa kwenda mbele kushambulia zaidi aina ya box to box midfielder zile.
 
zubi kufunga anajua sana jamaa.. naona badala ya kumchezesha six ni bora awe anaachiwa uhuru wa kwenda mbele kushambulia zaidi aina ya box to box midfielder zile.
Shida hapo juu hawezi bila ya kubadilika, kwake mpira anauogopa kama umeme,
Unavyokuja ndio unavyorudi kama treni bwana!!!

Box to box kuna muda unachanja mbuga na mali, lazima uwe muongo muongo sana, sifa hizi mbili hana, hiyo ni shida kubwa kwake, afanye mazoezi ajifunze mbinu tofauti tofauti anaweza kuwa bora
 
Naskia mnawatakia kheri ya akina baba wachezaji wa chelsea πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…