secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,577
- 49,906
Majina siku hizi yamebadilika, si yale ya mwaka 47.Hayo majina yenu gen z sijafahamu
Hahaha matimu ya msimu huu yote mabovu hongereni kwa kuokota ubingwaMajina siku hizi yamebadilika, si yale ya mwaka 47.
Arteta naye alikuwa ananikera sana. Sema safari hii kanifurahisha. Sasa hivi nitakuwa humu kila muda.Shabiki mandazi wewe unaogopaje kelele za manyumbu wa manjesta? ๐น
Bwashee nipe tu hongera ya msimu ujao tumalizane maana ni mwendo wa makombe tu!Hahaha matimu ya msimu huu yote mabovu hongereni kwa kuokota ubingwa
Arsenal watatawala tu hapo,pep kuondoka,hao wengine February tu chaliHahaha matimu ya msimu huu yote mabovu hongereni kwa kuokota ubingwa
SawaArsenal watatawala tu hapo,pep kuondoka,hao wengine February tu chali
Maskani yangu ni kigamboni.Wewe mjuba wa kutoka wapi tena? ๐น๐น
Ukisema hivyo mtu kanikamatia sipendi, yaani mimi ni yule mwali kigego km Arsenal sijali watu wanasema nini nafocus tu!! ๐น๐น
Wewe sema uko wapi nitume mtu afate..!!
Sawa mwenyekiti wa Baraza la KiswahiliHiyo misenge misenge isiyojua kuandika kiswahili ipo mingi kweli,sijui shule hufunzwa nini siku hizi!?.. maana ramani ya nchi,bara,dunia haijui na kiswahili haijui
Mi najua ya nursery mzigo unasoma 6,800,000 na soon kana panda grade fee tofauti..!!Fee bei gani?.. nataka peleka mwanangu pale form nyoya
Kigamboni kubwa, upo sehemu gani?Maskani yangu ni kigamboni.
KisotaKigamboni kubwa, upo sehemu gani?
Binti mbona makasiriko?Hiyo misenge misenge isiyojua kuandika kiswahili ipo mingi kweli,sijui shule hufunzwa nini siku hizi!?.. maana ramani ya nchi,bara,dunia haijui na kiswahili haijui
Huyu hana agenda yake tu, na hapa amekuja kutest watu watasemajeBinti mbona makasiriko?
View attachment 3591980
Nampa oda kijana wangu๐๐๐๐๐น๐น๐น Nimeteseka sana acha nifurahi..!!
Weeh usije ukaitia mchanga cake mana liverkuku hamjapenda kabisaaa..!!
Hahahaaa๐Shabiki maandazi au sio? ๐น๐น
Kwani upo ovulation kila siku?Wapi? ๐น
Isiwe ghetto tu!!
Feza school fees imepanda sitaki majukumu..!! ๐คฃ