Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal win, kula chuma hicho
 
Leo wagonga nyundo naona hawana muda wa kutafuta goal wao wameamua kujilinda mpaka mwisho. Center Back 7 in a starting 11 inamaanisha game ni ngumu kwelikweli kuifungua.
 
Hamuonyeshi dalili ya kuigungua backline ya Hammers, mnarukaruka tu kama kuku aliyekatwa shingo. Hamjui kuwa tumewekeza pesa zetu kwenu
 
Wakati mnapanga kumpiga chuma 3 westham, kumbuka Nuno ESPIRINTO ndiye kocha waa mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…