Shabiki la manyumbu linaendelea kujipa hope, utaumia sana Msimu huu, hutoamini hiyo siku, wanaume tunaingia kama chui mwenye njaa kali. PSG watoto wa juzi, tutalithibitisha hilo trh 30.Wana Paris hao sasa. ..
Ngoja kina Madueke, trossard, saka,jokeres ,martineli wakawafunge magoli......
Huku tukiwa na kiungo letu fundi "Skelly"
Mtashangazwa, game itaisha 1st half, Hakimi atakuwa keshapona
Hawa Brentford wafuate blueprint ya Everton tu...Huyu dogo Schade anawazingua wenzake
Kila la kheri maSta.... walau muonje ladha ya UcL trophy, make Forest na Villa wanawazidi .... wameshashinda hilo kombe !!!!!Shabiki la manyumbu linaendelea kujipa hope, utaumia sana Msimu huu, hutoamini hiyo siku, wanaume tunaingia kama chui mwenye njaa kali. PSG watoto wa juzi, tutalithibitisha hilo trh 30.
Hivi mtafika uefa?Nasikia mmeumia sana baada ya Brentford kupoteza mchezo wao.
View attachment 3586210
.Unaambiwa jana Pep muda anaondoka akasema Come On You Irons.
Kwahiyo City inapiga dua Westham watuzuie
Umemaliza ndugu yetu?Mathematically Burnley na Wolverhampton wameshaenda na maji .....Bado mmoja ambaye ni spurs ama West Ham... spurs ana point 37, West Ham 36.... wote wana chance ya kupigania hadi pumzi ya mwisho....
Kwa EPL walau ili uwe safe kwenye relegation zone upambane uokote walau point 40+.... wote hawa wawili wanapambania hilo ....
Sitoshangaa Leo mkaliwa ama mka_draw... mechi ni ngumu sana, majamaa yanataka kubaki EPL na nyie mnataka ubingwa baada ya miaka karibia 30 !
Lolote liwakute
Tusubiri muda ndugu yangu.... pengine mkashinda.... ila kwa experience ukikutana na timu ambayo inashuka sio poa.... wanakufa na tai shingoni !!!