Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa hivi hausikii tena kelele za clean sheets. Few months ago ilikua ni kelele za mashabiki wa Chelsea kumshindanisha Sanchez na Raya.

Leo hii

Raya ana clean sheets 17. Sanchez ana clean sheets 10.

YUle jamaa yao anaendikiwa essay na chatgpt alitangaza kuhamia city kawaacha wakina mbege jr
 
Fulham ni timu yangu ya utotoni kabisa,
Mungu tunaomba sare tu leo wala hatuombi makubwa.
Tupe maoni yako mkuu baada ya mtanange kuisha🤠🤠....tunaanua mkeka tunaenda nao j4 mapema kabisa....tunakwenda fainali...na tutaomba sana PSG wapite ili tukutane nao watuelezee mwaka jana walitutoatoa vipi🤠🤠
 
Binafsi nashangazwa na Arteta kutompa nafasi Noorgard mchezaji ambae ni premier league material na ameprove kwenye ligi kama captain wa Brentford na kuendelea kumkumbatia Zubimendi ambae amekuwa na awful performance currently.
 
hili suala la Skelly kucheza kwenye ile position alocheza leo ilikuwa ni wimbo wa mashabiki wengi wa Arsenal tangu siku nyingi lakini Arteta kuliona hilo imemchukua miezi wakati ni suala ambalo lilikuwa linaonekana wazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…