kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,815
- 20,792
Binadamu ni wanafiki sanaSasa ukitaka kujua binadamu hawana jema.
Game ya PSG vs Bayern ilitoa jumla ya goli tisa.
Binadamu walewale wanaolalamika games za Italy kutoka bila bila.
Wanaolalamika games za Arsenal kufocus na kudefend.
Wamelalamika ni timu gani professional zinaruhusu magoli kama tenga linalojazwa maji.
Zubemindi amekukosea nini Jombis ?Zubimendi ni kiazi, kila siku tunawaambia humu mnashupaza shingo, Leo kocha lenu limeona limpe nafasi dogo skelly L, pengine akapata chochote kitu.....
Wembe ni ule ule... .tunataka mliwe kichwa, ama lah... draw itapendeza, adui muombe njaa
Kiwango duni masta, tofauti na mapambio yaliyokuwa yanaimbwa humu !!!!! Kabla ya usajili wake aliimbwa sana, kuja sasa amna kitu....Spain World Cup akiitwa atakuwa bench warmer tuZubemindi amekukosea nini Jombis ?
Qmmk chuma kwa arsenal hukoAsenoo kumermamao! Leo mnatema bungo rasmi mbele ya Fulham. Maaanina zenu!
Halafu wengi walioanza sio kikosi cha kwanza cha siku zoteATM wanawanyoosha Valencia
Kama kampumzisha kwa ajili ya game ya j4 je, ila mashabiki mna shida sana,au ni nongwa zenu kwa the gunners?Zubimendi ni kiazi, kila siku tunawaambia humu mnashupaza shingo, Leo kocha lenu limeona limpe nafasi dogo skelly L, pengine akapata chochote kitu.....
Wembe ni ule ule... .tunataka mliwe kichwa, ama lah... draw itapendeza, adui muombe njaa
Sema timu yako ipo michuano gani, maana wenzako ni title contender EPL na UCL!Kiwango duni masta, tofauti na mapambio yaliyokuwa yanaimbwa humu !!!!! Kabla ya usajili wake aliimbwa sana, kuja sasa amna kitu....Spain World Cup akiitwa atakuwa bench warmer tu
UhakikaOya Hawa inatakiwa wafe hata goli 10, man city game zilizobaki hana uwezo wa kushinda goli nyinginyingi
Tuwapige kama week hiviHapa bado goli tatu