Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta hawezi beba epl, msimu wa nne huu ana fumble dakika za jioni..kwa timu hii hii akipewa kocha kama Antonio Konte hata kwa msimu mmoja tu anabeba vikombe zaidi ya viwili.
 
Kaka ninachokiona kwa Arteta ni kocha ambae uwezo wake umegoma kukua.

Ukiiangalia Arsenal inavyocheza unaiona ni timu inayopambana isifungwe kuliko yenyewe kufunga magoli.

Arsenal hata wakipata goli 1 utaona kabsa huwa wanacheza kulinda tu.

Arteta akili zake zote zipo kwenye kusajili mabeki kuliko washambuliaji.Hapa sioni kocha wa maana mbeleni tuendapo.

Sasa hivi ameshaanza kutafuta mabeki kuliko washambuliaji.

Ule upande wakina Trossard na Martinel kule panahitaji watu wapya kabsa wakukaa pale zile zote ni takataka ni kama uyoga hazitabiriki.

Upande wa Saka yule dogo Dowman ana kitu tatizo hana kocha tu ila angesaidia timu.

Pale kati juu ya kina Rice anaestahili kukaa pale ni Eze ile Ode ni takataka na Kai anatakiwa kupishana na Gyokeres ndio panamfaa zaidi pale.

Kai akitumika kwa usahihi basi anaenda kutufungia goli la muhimu sana kwenye mechi zijazo katika msimu huu.Iwe ligi kuu au klabu bingwa basi atakuwa hero tena siku hiyo.

Arteta ndio huwa anafanya watu wamtukane Kai sio kama Kai mbaya ila huwa anamuweka kwenye nafasi asiyoiweza.

Kifupi Arteta ni sawa na Arne Slot wa Liverpunga wale ni makocha wa timu kama Aston villa,Newcastle na timu za namna hiyo.
 
Atawaambiaje wakati kucheza hivyo kijinga yeye ndio anawaelekeza.

Huwezi kutegemea kudefend tu huku ushambuliaji ukiwa butu.

Huyu Gyokeres mimi naamini ni mfungaji mzuri sana ila tu amekuta litimu linacheza mpira wakipuuzi.

Ukiangalia Arsenal inavyocheza ni ngumu kuona katengenezewa nafasi za maana na akakosa ili tumlaumu.

Ndio maana hadi sasa hivi Gyokeres hauwezi kusikia hata mashabiki wakimlaumu hata wasioipenda Arsenal wanashindwa kumcheka maana hawana clip zakusindikizia masimamango yao.

Timu linacheza back passes kama nini sijui na kutegemea set pieces.
Kai alizomewa sana coz pia alikuwa akikosa goli nyingi za wazi coz timu ilikuwa inapiga soka safi lakusakama mpinzani.

Nyumbu,Chelsea ni mashahidi wazuri wa lile soka lakuupiga mwingi.

Nyumbu alisearchiwa hadi akatoa dakika za jioni.Ila sasa hivi ukifanikiwa kupata goli mbili against Arsenal basi umeshinda ukikaa nyuma.
 
Tukiacha ushabiki maandazi, arteta anafanya kazi nzuri mno ndo maana yupo hapo alipo.
Tatizo n washindani, kitu ambacho sio kosa lake, kama ilivyo kwenye ligi zote.

Mistake zinatokea + ushindani.
 
Atawaambiaje wakati kucheza hivyo kijinga yeye ndio anawaelekeza.

Huwezi kutegemea kudefend tu huku ushambuliaji ukiwa butu.

Huyu Gyokeres mimi naamini ni mfungaji mzuri sana ila tu amekuta litimu linacheza mpira wakipuuzi.

Ukiangalia Arsenal inavyocheza ni ngumu kuona katengenezewa nafasi za maana na akakosa ili tumlaumu.

Ndio maana hadi sasa hivi Gyokeres hauwezi kusikia hata mashabiki wakimlaumu hata wasioipenda Arsenal wanashindwa kumcheka maana hawana clip zakusindikizia masimamango yao.

Timu linacheza back passes kama nini sijui na kutegemea set pieces.
Kai alizomewa sana coz pia alikuwa akikosa goli nyingi za wazi coz timu ilikuwa inapiga soka safi lakusakama mpinzani.

Nyumbu,Chelsea ni mashahidi wazuri wa lile soka lakuupiga mwingi.

Nyumbu alisearchiwa hadi akatoa dakika za jioni.Ila sasa hivi ukifanikiwa kupata goli mbili against Arsenal basi umeshinda ukikaa nyuma.
Sio kama hatuna ila hii timu inacheza kwq maelekezo ya yule mjinga mpanga koni Arteta.

Haiwezekani nyumbu wawe wanauhakika zaidi wakupata goli katika mechi kuliko Arsenal wakati tumewazidi sana ubora.
 
Yeah kuna kipindi ilikua hata tukiongozwa tuna uhakika wa kurudi.

Pamoja na yote timu huperform vizuri kama ikiwa sawa mentally. Kikosi chetu ni kama akili huganda ikifikia muda tunahitaji ushindi.

Mechi mbili za nyuma unaona jinsi Raya kafanya makosa.

Msimu tunasuluhu mbili mbili na Spurs unamuona Jorginho akizawadia mpira Son anayeenda kusawazisha. Ule ushindi ungetupa kombe. Scenarios zipo nyingi.
 
Mlivyojidai mnafungwa na City kisa Arsenal nilisema ni kwavile hamna uwezo siyo kwamba mna maamuzi.

Mechi nne hamjapata goli hata moja, maajabu ni kunakucha unapata nguvu kuleta kitambi uzi wa wanaume.
Sisi tunakufunga ukituwekea ubingwa uwanjani πŸ˜‚ hata Arsenyembo tuliwanyoosha 4:1 huko Baku baada ya kombe kuwa uwanjani.

Ila leo lazima mkazwe
 
Sisi tunakufunga ukituwekea ubingwa uwanjani πŸ˜‚ hata Arsenyembo tuliwanyoosha 4:1 huko Baku baada ya kombe kuwa uwanjani.

Ila leo lazima mkazwe
Ubingwa unaufikia kabla ya knockouts?

Hizi akili za Labyrinth.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…