Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,525
- 97,068
Manena, sporting ya kimara labda, ana kufa kifo kikatili huyo sportingWatu wapo training ground wako busy kuangalia video za TikTok, halafu wanawaza ubingwa.
Hivi nyinyi kenge ubingwa mnauchukuliaje?
Sporting tupo nao jumatano walete raha kabisa makenge wachanganyikiwe .
Team kuanzia dakika ya kwanza inawaza kuzuia tu
Tutakuwepo j5 sio mbaliii, kuna jamaa arsenal tv alikua na Imani kama yako anaitwa Dan mpaka wengine wakampa jina la Dan positive ila jana kavua shati ***** anasema kachoka false hopes.Manena, sporting ya kimara labda, ana kufa kifo kikatili huyo sporting
J5 usi ulize we pigia mstari, arsenal ana shinda kwa 2+Tutakuwepo j5 sio mbaliii, kuna jamaa arsenal tv alikua na Imani kama yako anaitwa Dan mpaka wengine wakampa jina la Dan positive ila jana kavua shati ***** anasema kachoka false hopes.
Analalamika mpaka mtoto wake amemuona father muongo maana Kila mwaka anampa ahadi atampeleka Emirates kwenye parades la ubingwa lakini mpaka sasa mwaka wa 4 huu dogo hajaenda.
Nikakumbuka hamiss 77 alimuahidi mwaka juzi mtoto wake atamnunulia jezi ya arsenal endapo itachukua ubingwa mpaka Leo hollla😂
Ukubwa wa ArsenalNimeanza kushabikia Newcastle tayari Nina carabao cup .
Ukubwa wa arsenal ni upi?? Nembu kwa unyenyekevu nielezee hata kidogo tu ukubwa wa arsenal?
Kuna high expectations na false hopes nyinyi hamna expectations zozote mna false hopes.
Ili uwe mkubwa lazima uwe na champions league hapo silioni Hilo kombe . Anyway twende taratibuUkubwa wa Arsenal
13 Premier league titles
14 FA cups( record holders)
2 Carabao cups
17 community shields
1 continental cup
1 invincible ( 2003/04)
Never relegated
Huge fan base
And what about Newcastle 😅Team kubwa uingereza ni Liverpool, Man city, Chelsea na Manchester united. Vigezo na masharti vimezingatiwa.
Miaka kumi on whose criteria? We jamaa kama hujui unachoongelea bi heri ukae kimya kuliko kuongea na kudhihirisha ujinga wako.Ili uwe mkubwa lazima uwe na champions league hapo silioni Hilo kombe . Anyway twende taratibu
13 EPL ( last time 2003/2004) hivi unamjua 2003 halland alikua hajazaliwa na foden pia? Halland na foden wamezaliwa wamekuta team haijachukua EPL wamecheza wakachukua EPL zaidi ya 4 arsenal still 0 saivi wanaenda kustaafu.
Carabao cup(1992) 😂😂
Kufupisha story ndani ya muongo 1 ( miaka 10) ili uwe team kubwa inatakiwa uwe umechukua at least makombe 3 nitajie hayo makombe mliochukua within 10 years
Ili uwe mkubwa lazima uwe na champions league hapo silioni Hilo kombe . Anyway twende taratibu
13 EPL ( last time 2003/2004) hivi unamjua 2003 halland alikua hajazaliwa na foden pia? Halland na foden wamezaliwa wamekuta team haijachukua EPL wamecheza wakachukua EPL zaidi ya 4 arsenal still 0 saivi wanaenda kustaafu.
Carabao cup(1992) 😂😂
Kufupisha story ndani ya muongo 1 ( miaka 10) ili uwe team kubwa inatakiwa uwe umechukua at least makombe 3 nitajie hayo makombe mliochukua within 10 years
Comments zako zinaonyesha jinsi ulivyo na akili za kitoto na hujui chochote kuhusu mpira.Team kubwa uingereza ni Liverpool, Man city, Chelsea na Manchester united. Vigezo na masharti vimezingatiwa.
Haya basi nakuongezea miaka 10 mingine haya miaka 20 .Miaka kumi on whose criteria? We jamaa kama hujui unachoongelea bi heri ukae kimya kuliko kuongea na kudhihirisha ujinga wako.
Ni kwa criteria/ vigezo vya Nani eti kwamba ili timu iwe kubwa lazima iwe umeshinda Premier league na UCL ndani ya miaka kumi?
Halland au foden umri wao unahusiana vizurrii tu , ngoja nikueleweshe maana arsenal fans Huwa hamna akili zaidi ya false hopes moyoni ila kichwani ni watupuComments zako zinaonyesha jinsi ulivyo na akili za kitoto na hujui chochote kuhusu mpira.
Sasa umri wa Haaland na Foden unahusiana nini na Arsenal?
Wewe unajua Arsenal ilianzishwa mwaka gani na kabla hao Haaland na Foden kuzaliwa ilikuwa imeshinda makombe mangapi?
Acha kutumia kichwa kama kifuniko cha shingo kenge wewe.
Tutakuwepo j5 sio mbaliii, kuna jamaa arsenal tv alikua na Imani kama yako anaitwa Dan mpaka wengine wakampa jina la Dan positive ila jana kavua shati ***** anasema kachoka false hopes.
Analalamika mpaka mtoto wake amemuona father muongo maana Kila mwaka anampa ahadi atampeleka Emirates kwenye parades la ubingwa lakini mpaka sasa mwaka wa 4 huu dogo hajaenda.
Nikakumbuka hamiss 77 alimuahidi mwaka juzi mtoto wake atamnunulia jezi ya arsenal endapo itachukua ubingwa mpaka Leo hollla😂
Alright—this is where football debates get serious 😄Halland au foden umri wao unahusiana vizurrii tu , ngoja nikueleweshe maana arsenal fans Huwa hamna akili zaidi ya false hopes moyoni ila kichwani ni watupu
Halland na foden wanawakilisha generation ya watu wenye miaka 25 na wengine wengine ambao toka wanazaliwa mpaka sasa hawajawahi kuona Arsenal imebeba kombe lolote la maana ila wameona Chelsea, man city, man UTD na Liverpool wakiwa wamebeba kombe.
Utaanza vipi kuwaeleza arsenal ni team kubwa wakuelewe wakati toka wanazaliwa mpaka wanapata watoto still arsenal hana kombe ukubwa wake ni upi sasa.
Wewe mwenyewe hujawahi kuona Arsenal ikiwa imebeba kombe zaidi ya mara 2 na pengine hujawahi kabisa.
Ukubwa wa team yoyote ni uwezo wa kubeba makombe na cosintency yake kwenye kubeba hayo makombe. Hio ndio criteria yangu ya team kubwa.
Nipe criteria yako na wewe mpaka ukaiweka arsenal kwenye team kubwa?
Uwezo wako wa kuwaza ukiona taarifa.Kama ni juzi tu hapo 2021 unaita uchizi, vipi kuhisi team ambayo haijabeba ubingwa toka 2004 utabeba Leo huo nao ni Nini?
Mzee wa trauma na energy drinks, lete hoja sio vioja vya trauma ukikosa hoja unakuja na department zako za trauma na mentally depressed.Uwezo wako wa kuwaza ukiona taarifa.
Mchakato wako wa kupima, uelewa wako wa kuchambua na utayari wa kutuhabarisha ulichochambua ni wa kipekee sana.
Nimekutana na watu wanne tu wenye huu uwezo.
Wawili nimekutana nao ninapofanya kazi sehemu ya mentally depressed and trauma
Mmoja ni binti yangu.
Mwingine ni wewe.
Sasa nashindwa elewa wewe ni mtoto au unaishi kwa trauma. Kama una zaidi ya miaka 18 seek medical help
Haya yote uliyoandika still yanasapoti point yangu ni vile tu uliyeandika na wewe hujasoma between the lines.Alright—this is where football debates get serious 😄
Let’s break it into historical biggest clubs vs current biggest clubs in the Premier League.
🏆 Historically Biggest Clubs (All-Time Status)
These are clubs whose legacy, trophies, and global identity make them “permanently big”:
🔴 Manchester United
Most dominant English club in the Premier League era (under Alex Ferguson)
Massive global fanbase
Still arguably the biggest brand in English football
🔴 Liverpool FC
England’s most successful club in European competitions
Dominated the 70s & 80s
Huge worldwide support
👉 Historically, Liverpool + Man United are the top two.
🔴 Arsenal FC
Long-term consistency
“Invincibles” under Arsène Wenger
Strong identity and history
🔵 Chelsea FC
Became elite after early 2000s
Won Champions League twice
Not as old historically, but now firmly “big”
⚡ Currently Biggest Clubs (Modern Power)
This focuses on recent success, money, and dominance (last ~10–15 years):
🔵 Manchester City
Most dominant team in recent years
Multiple league titles under Pep Guardiola
Won the Champions League
👉 Right now: arguably the strongest team in England
🔴 Liverpool FC
Recent league + Champions League wins
Strong modern era under Jürgen Klopp
🔴 Arsenal FC
Back to competing at the top
Young, exciting squad
🔵 Chelsea FC
Still financially powerful
Inconsistent recently, but still “big”
🤔 The Special Case
⚪ Tottenham Hotspur
Big stadium, big fanbase
BUT… fewer trophies
👉 This is why people argue:
“Are Spurs really a big club or just a rich one?”
⚖️ Simple Comparison
Factor
Historically Biggest
Currently Biggest
Trophies
Man United, Liverpool
Man City, Liverpool
Legacy
Man United, Liverpool, Arsenal
Less important
Current dominance
—
Man City
Fanbase
Man United, Liverpool
Still those two
🧠 Final Insight
👉 A club can be:
Historically big but currently struggling
→ (e.g. Manchester United)
Currently dominant but less historic
→ (e.g. Manchester City)
✅ So the TRUE “biggest clubs overall” (balanced view):
Manchester United
Liverpool FC
Arsenal FC
Chelsea FC
Manchester City
Tottenham Hotspur
If you want, I can rank them �strictly by trophies only or �by fanbase worldwide (Africa included)—those rankings change a lot 👀
Tatizo Labyrinth unaishi kama Yahya.Mzee wa trauma na energy drinks, lete hoja sio vioja vya trauma ukikosa hoja unakuja na department zako za trauma na mentally depressed.
Kama ni uchizi kufikiri Chelsea atamfunga man city kwa kigezo hajamfunga toka 2021 , Vipi anayefikiri Arsenal itatwaa ubingwa mwaka huu na haijawahi kutwaa toka 2003 with same scenario Kila mwaka hio ni beyond uchizi.
To make the dance short huko kwenye (Taarifa) nimesoma nimebaki nacheka tu laiti ungelijua hata usingeongea umenikumbusha SAT and Devil advocacy.
Tuendelee kuongelea mpira huku kwingine huna ujualo kuhusu Mimi