Punguza hasira mkuu, mpira fanya iwe sehemu ya burudani tu, usichukulie sana serious.. mie nimefanikiwa kutoka huko najua maumivu ya mpira, ile tunakufa fainal ya uefa vs barca, siwezi sahaubsiku ile almanusura nipate degedege, maumivu makali, moyo kama unanyofoka