Kuna makocha hawana akili ya mpira kumzidi Arteta ila mashabiki hawaoni hilo. Kocha wa Brighton alilalamika sana kwamba kapigwa haram ball ya maana baada ya siku kadhaa akaomba msamaha kwa Arteta.
Sasa watu hawajui kwamba Arsenal tunatafuta kombe, Brighton anatafuta kubaki ligi kuu. Liverpool anatafuta kuingia top four. Haya ni malengo matatu tofauti kwa kila timu ni ngumu ninayetaka ubingwa nikaenda kujiexpose kwa timu inayopambania kubaki ligi kuu.
ukisikia Alexandr hleb, Tom Rosicky, Santi Carzola utaelewa nazungumzia nini, kuna kijana anaitwa modric pia, alikuja Spurs akiwa mshamba tu ila baadae balaa likawa kubwa. hleb one of my favourite players kuvaa jezi ya Arsenal

Arsenal tumekuja na 4 2 3 1. AM amekua Kai.
In practice Kai atakua SS kwa Gyokeres if it works kama inavyodhamiriwa hapa tuna AM na SS in Kai.
Timu zote mbili ukiachilia kipa wote walioanzishwa ni starters na vyuma haswa.
Kwakua we no longer fluid natarajia mpira wa tahadhari zaidi upande wetu, flairs hatutaziona mpaka aingie Dowman wakati kwa City flairs na pace vyote anavyo.