Saka na eze na Victor G, martineli, trossad, Jesus, kai mnawategemea wawape UEFA sio basi sawa.... offcourse second leg iko open.... mnaweza kuwatoa wale jamaa, japo sio kirahisi hivo..... Je huko mbele ? Hamna forward mnashinda kwa miujiza tu .... forward line yote kule imeoza .... hamna AM mzuri, mwenye jicho kali, progressive passess n.k ! Hata huyo Goyk ukimpa pasi hajui kufunga !
Mtafilimbwa bila ganzi