Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dadeki arsenal bhana
Watu washajifia hawa kina eze wanakenunua2 tu ndani umo...piga goli
 
Kumbe hua mnacheat kwenye kona zenu ndo mana mnafunga, mpira haukai kwenye mstari matapeli Nyie
 
Refa kakaa upande wenu lakini jamaa yamewaweka.
Sikilizeni kwa umakin, hakikisheni hii mechi mnashinda maana hamtoweza tena kuonekana katika hili jukwaa lenu tena kama mtapoteza au mtasare hii mechi.
 
Timu bila set pieces basi halipati magoli bado yanajisifu yana timu kali.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
🀣🀣🀣 Chelkenge mkikaza makalio kipindi cha pili mnaondoka na points3, Arsenyau mechi za presha hua wanagawa tu utamu wenyewe, na vile wamemuona City anawabambia kwa nyuma, wanajikuta wamelegea wenyewe na kuanza kutanua mapaja.
 

Attachments

  • 1746865204876.jpg
    116.1 KB · Views: 6
Kispanish Uno Uno a.k.a moya moya
Your browser is not able to display this video.
 
Ila Arsenal bana
Your browser is not able to display this video.
 
Mechi za Brentford na Wolves tungeshinda inawezeka za Spurs na Chelea tungesuluhu.

Na tofauti ya points ingebaki hivi hivi.

Route tuliyopita ndiyo tamu. Piga wapinzani wa jadi na hizi kenge zisibaki hata 6 bora
 
Pamoja na ushindi leo,arsenal haijacheza vizuri,kwa maana ya kupoteza nafasi muhimu.
Kiukweli kunakitu kocha anamis kwenye namna ya kuwafanya wachezaji waone umuhimu wa hizi mechi zilizobaki.
Kipa amefanya kazi yake vizuri sana,tunaamini mwaka huu Arsenal atanyanyua kwapa,pamoja ni kwa taaabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…