Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuanzia leo kila timu tutakayo kukutana nayo itakua imeingia miziki ya kibwengo

Kupoteza kawaida lakini consistency yetu hakuna mtu asiyeijua
Usipo fungwa kwenye open play utafungwa goli za kihuni (set pieces)

Mark my words
 
🤣🤣🤣 Arsenyau ni kama tu mgonjwa wa kifafa na huu ndio muda wake wa kuanza kuanguka anguka.
 
Kuanzia leo kila timu tutakayo kukutana nayo itakua imeingia miziki ya kibwengo

Kupoteza kawaida lakini consistency yetu hakuna mtu asiyeijua
Usipo fungwa kwenye open play utafungwa goli za kihuni (set pieces)

Mark my words
Wapi inverted full back ya Zinchenko, wapi Haram footbal ya TetaBoy, wapi inverted pressing ya King Kai, wapi overloading football, wapi Saka Nyoka asiyekabika na neki mmoja. Kuna kauli moja ya masingeli alikuwa anapenda kuitumia kuwa it's scary but not for us... anasindikizia na mazoezi yao kule Dubai
 
🤣🤣🤣 Yule Vasco Dagama ndio alitutoa kwenye mbio za ubingwa, laiti Carrick angepewa timu mzunguko wa pili tu ulivyoanza sasa hivi Manjesta tungekua ndio tunaongoza ligi.
Kabisa kumbe hapo juu wapo viazi tu , yule mzururaji katuchelewesha sana😁
 
Siku masingeli akirudi watu kutokea nyumbu camp mjipange aisee
 
🤣🤣🤣 Ila li Masingeli lilikua linajua sana kuvuta masikio ya hizi kima, na ole wake atokee mtu wa kumkosoa atashambuliwa kila kona na kuonekana kwenye hili jukwaa na nyau yeye ni mamluki.
Alikuwa na chawa kibao humu🤣😃🤣😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…