Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Si tumekubaliana na castr kama katibu wa ma false hopers kuwa saivi mnagawa energy drink kwa mwizi saivi ama?
Man city now wapo kusaka ubingwa as fans and players lakini arsenal fans wao wapo kwenye kugawa energy drinks πŸ˜‚πŸ˜‚.
Mkorea ongeza energy drinks 2 tafadhali
 
Acha false hope kaka, kwani kocha mwenye arteta yeye ana kombe gani kubwa akiwa anacheza arsenal? Nuksi ipi unayoongelea wamecheza kina van persie, fabregas na wengine na hawajapata kombe lolote kubwa.
Arsenal ndo ina nuksi na makombe makubwa.
Tuki draw, huwa uko faster kuleta tumbo lako ka diaba.
 
Duh ww jamaa kama n mapenzi kwa Arsenal sasa h n umekufa kabisa πŸ˜‚

Kwamba arteta ndo ameanza kuifundisha timu, Yn zaidi ya miaka mitano ww unakuja kusema ndo anaanza πŸ˜‚

Kuna jamaa ndani ya miezi yake 18 ya mwanzo kwenye timu akitokea championship amebeba conference na world cup, Afu ww Miaka zaid ya mitano ety anaanza kufundisha timu πŸ˜‚ Mkiwa mnajisifia kumfunga Chelsea Hua mnanifurahishaga Sana πŸ˜‚

Ndo ibaki point moja, muanze kubadilishana 1st position na Man City ndo akili zitawarudi.
 
arsenal ukimtoa declan ,wengine waliobaki wanacheza kitoto mno.. no desire to win a match ,no fighting spirit and no maturity level kama aliyokuwa nayo mwamba.
 
🀣🀣🀣 Kitendo tu cha kushabikia Arsenyau lazima kuna fuse kichwani ziungue, yaani Tetea kiwigi huu msimu wake wa 6 unaenda wa 7 halafu kuna kima zinamtetea kua "Arteta ni anavumiliwa sababu ndo kwanza anaanza kuinoa timu ya kwanza akiwa kama kocha Mkuu"
Sasa hivi nimeanza kuamini rasmi zile takwimu za ile hosptali kubwa ya kule Dodoma.
 

Attachments

  • 1770964316809.jpg
    154.6 KB · Views: 23
Ndo football na kupenda jambo flani uvumilivu upo pia so, acha tuvumilie labda anaweza kutupatia mafanikio maana ndo kocha wetu kwa sasa na ligi bado haijaisha anaweza kubadirisha kitu bado.
 
Na shida tuna game nae kwao, hii game inaweza kuamua bingwa
 
🀣🀣🀣 Sema mwanangu Labyrinth 84 unajua sana kukera, endelea kupiga nyundo za kichwa hizi kima maana bado zinapumua.
 
Wanetu mmedrop point .... safi sana ...

Hii ndo mida ya Pep, hacheki na yeyote anaekatiza mbele yake ....

Hivi mmeangalia table yenu game 6/7 zijazo ? Mkiambulia pwenti 10 mtashukuru sana !

Kwa huu mpira wa back pass, side way passes, na kutegemea set pc ?

Mtaliwa kiboga mpaka mfurahi

Ode /Eze matakataka ... hakuna anaweza kupiga zile killer pass ... pass mpapaso, mipass ya upendo ... the likes of ozil, Bruno, fab, kdb etc
 
Hakuna watu wapo NAIVE kama mashabiki.

He who laughs last.....malizia hapo! Ubingwa hauji tu kirahisi, kwamba gunners washinde kila mechi wanazocheza, it's a game of lose, win or draw. Expect City to drop points too.
 
Na shida tuna game nae kwao, hii game inaweza kuamua bingwa
🀣🀣🀣 Nakuhakikishia kabla ya kukutana na City, Man City atakua tayari amewapita kwa points 4 akiwafunga anawaacha kwa points 7.
 

Attachments

  • 1770968849449.jpg
    32.9 KB · Views: 25
🀣🀣🀣 Nakuhakikishia kabla ya kukutana na City, Man City atakua tayari amewapita kwa points 4 akiwafunga anawaacha kwa points 7.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Acha tuone mpira unamaajab yake pia mkuu. Tunaweza kutafuna hiyo mifupa migumu ukashangaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…