Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🤣🤣🤣 Arsenyau hii hapa fixtures yenu, nawakumbusha tu kabla ya mechi yenu na City, Mancity atakua amewazidi ponts 4, hivyo akiwagonga atakua kawazidi points 7.
 

Attachments

  • 1769448444228.jpg
    52 KB · Views: 10
🤣🤣🤣 Arsenyau hii hapa fixtures yenu, nawakumbusha tu kabla ya mechi yenu na City, Mancity atakua amewazidi ponts 4, hivyo akiwagonga atakua kawazidi points 7.
Hakuna kitu hapo cha kututisha Sisi.
Mechi 13 zilizobaki tutashinda 12 na kutoa sare mechi moja ambayo ni ya City.

Na tunachukua ubingwa
 
Pep anakuambia goli lingeachwa halafu Szoboszlai asigewe red.

Tangu wiki iliyopita Pep yupo kwenye mood ya kwenda kinyume na sheria tu.

Alichofanya Szoboszlai ni kumvuta fulana mchezaji aliyekua anatakiwa kwenda kuscore hii ni faulo ya Denial Of Goal Scoring Opportunity (DOGSO) iwe isiwe hua inakua red.

Ila Pep anasema red isingetoka goli liachwe halafu wawe wameshinda 3. In a bigger picture ni kwamba in a long run hili goli moja linaweza saidia ikifika siku points zipo tied mnabaki kutumia magoli kutafuta mshindi.

Not today Mister
 
As much as there’s noise around this incident, the referee got it right under the Laws of the Game.

Law 5 allows the referee to apply advantage, but advantage is conditional and temporary.
It only exists for a few seconds and only as long as play remains legal.
Playing advantage does not give the attacking team immunity to commit a foul.
Once the team benefiting from advantage commits an offence, advantage is cancelled immediately.

In this scenario:
Haaland is through on goal.
Szoboszlai commits a foul on Haaland → DOGSO ( Denial of an Obvious Goal-Scoring Opportunity) situation

So, The referee correctly applies advantage because the ball is still heading toward an open goal.
However, Szoboszlai recovers and is about to legally clear the ball.
Haaland then fouls Szoboszlai, preventing that clearance.
At that moment, the advantage ends.
The attacking team (Haaland) commits a foul, so the referee cannot allow the goal, because the goal would result from an illegal act.
The referee is therefore required to:
Stop play
Go back to the original offence
Send off Szoboszlai for DOGSO (red card)
Restart with the appropriate free kick

Key principle people are missing 🚨
1. Advantage is not a free pass to foul.
2. A goal can never stand if it is directly preceded by an attacking foul, even if advantage was initially applied.
Final verdict
✔ Advantage was correctly applied
✔ Goal was correctly disallowed
✔ Red card for the initial DOGSO was correct

Decision: 100% correct. No controversy.

Anyone arguing otherwise is confusing advantage with immunity, and the Laws don’t support that.
 
🤣🤣🤣 Arsenyau hii hapa fixtures yenu, nawakumbusha tu kabla ya mechi yenu na City, Mancity atakua amewazidi ponts 4, hivyo akiwagonga atakua kawazidi points 7.
Nyie man u hamueleweki kabisa. Mara mnasema mtachukua ubingwa.. hapo hapo mnafurahia ushindi wa City 😂

Kama kupunguza gap la ubingwa si ilibidi muombee jana City afungwe? Kwani Liverpool angeshinda angebadili nini na nyie mnagombania ubingwa? 😂
 
Arsenal ni benchmark ya performance kwa timu.

Hamna kuombea mtu afungwe, kila mtu atapambania kilicho chake
 
Naona mashabiki wa Chelsea wanamtupia lawama Caicedo kwamba amesababisha penati na tackling yake ya kimama.

Ila wakiwa wanasema Caicedo ni world class midfielder wanasema ana tackles nyingi kuliko midfielders wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…