Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,136
- 18,788
hamis77 Rudi kundini Wana wamekumiss eti😅🤣🤣🤣 Namuona Masingeli jinsi anavyochungulia kwenye hili jukwaa huku anachekelea kimoyomoyo, anatamani kinoma aendeleze false hopes zake humu ila anajua akitia tu mguu wahuni wataruka nae.
Mwanangu Masingeli we endelea tu kuchungulia hivyohivyo, ila siku ukijichanganya tu ukaanza kuandika ngonjera zako, basi utakua ndio rasmi umetia gundu, Arsenyau lazima itaanza kugongwa hovyohovyo.
Mbona yupo hapa kwa User name nyingine, chunguza mwenye kamdomo kareeeeefu. Ni yeye kabisa.🤣🤣🤣 Namuona Masingeli jinsi anavyochungulia kwenye hili jukwaa huku anachekelea kimoyomoyo, anatamani kinoma aendeleze false hopes zake humu ila anajua akitia tu mguu wahuni wataruka nae.
Mwanangu Masingeli we endelea tu kuchungulia hivyohivyo, ila siku ukijichanganya tu ukaanza kuandika ngonjera zako, basi utakua ndio rasmi umetia gundu, Arsenyau lazima itaanza kugongwa hovyohovyo.
Niongee nini sasa? Muda wenu huu wakutamba false hopers lazima nikose maneno.Kenge Labyrinth 84 yupo kimya huwezi kumuona humu kwa sababu tumeshinda na Nyukesto yake imekandwa huko.
Anasubiri tufungwe kisha aje na paragraph zake zizizo na mashiko.
Na nilimwambia huu msimu atatetesaka Sana.
Mapema yote hii ? Man city mliwapita points8 bado game 8 na still wakawa mabingwa , hizi 6 unaona nyingi eti?.Arsenal bingwa
Hii Acha nijisevia najua kuna siku nitaihitajiUjio wa AI za bure mtu akimix code kidogo kwenye kushangilia au akapigwa chenga kazi anayo.
View attachment 3541251
Naomba uongelee mechi ya Tottenham na City.Team zinazosaka ubingwa mnaziona lakini? Team dk 84 ipo nyuma inarudisha na kushinda palepale anfield , nyinyi mpo emirates hata chance za maana hamkutengeneza.
13 games to go ila wanangu false hopers mbona kama bahati hamna kabisa leo hata mimi nilikua naomba mshinde😆.
Kama ingetokea kwenu mngeweza kurudisha na kushinda kweli? anyway
Endelea kuwanga kbsa😅We will be there when quadruple itakapogeuka zerodruple mwezi wa sita
That was a different Manchester city and a different Arsenal and today we have a different Arsenal and different Manchester city.Mapema yote hii ? Man city mliwapita points8 bado game 8 na still wakawa mabingwa , hizi 6 unaona nyingi eti?.