Far from over, tusiwaze huko kabisa!!Bado game 13 tu. Kuna uwezekano ubingwa ukawa game ya 32.
Fingers crossed!Wazee msimu huu mnabeba EPL. Hakuna wa kuwazuia.
Mkimvuka Astonvilla tutacheza na nyinyi🤣🤣🤣 Jamani tunaomba mechi ya kirafiki na Arseyau, Halafu uwanja wachague wao.
Ndio faida ya kuwa na wachezaji Versatile.. kuna namna msimu huu majeruhi hayajatupasua saana kichwa kama misimu kadhaa nyuma, KAI amekaa nje, kina saliba na malghales nao kwa wakati wao, jesus nae kama kawaida,calafiori, saka ndio huyo lakini mambo yanasonga kwa kupokezanaJana Rice akamkunjia roho Eze kutokana na swala la kukaba, last match Eze alikua hadi anahema kwa mdomo nafikiri Eze kwenye standards za ukabaji bado hayupo vizuri.
Trossard n Saka wapo nje. So eventually tunaweza muona Eze/ Jesus right/ left wing.
Bado games 13. Let's see
Mkuu naona mpo kwny mbio za ubingwa🤠🤠🤠....haya machachari yenu wiki mbili zijazo Kuna jambo litawakuta tu....bdo bwana Kariki wapinzani wanamsoma🤣🤣🤣 Namuona Masingeli jinsi anavyochungulia kwenye hili jukwaa huku anachekelea kimoyomoyo, anatamani kinoma aendeleze false hopes zake humu ila anajua akitia tu mguu wahuni wataruka nae.
Mwanangu Masingeli we endelea tu kuchungulia hivyohivyo, ila siku ukijichanganya tu ukaanza kuandika ngonjera zako, basi utakua ndio rasmi umetia gundu, Arsenyau lazima itaanza kugongwa hovyohovyo.
hamis77 Rudi kundini Wana wamekumiss eti😅🤣🤣🤣 Namuona Masingeli jinsi anavyochungulia kwenye hili jukwaa huku anachekelea kimoyomoyo, anatamani kinoma aendeleze false hopes zake humu ila anajua akitia tu mguu wahuni wataruka nae.
Mwanangu Masingeli we endelea tu kuchungulia hivyohivyo, ila siku ukijichanganya tu ukaanza kuandika ngonjera zako, basi utakua ndio rasmi umetia gundu, Arsenyau lazima itaanza kugongwa hovyohovyo.
Mbona yupo hapa kwa User name nyingine, chunguza mwenye kamdomo kareeeeefu. Ni yeye kabisa.🤣🤣🤣 Namuona Masingeli jinsi anavyochungulia kwenye hili jukwaa huku anachekelea kimoyomoyo, anatamani kinoma aendeleze false hopes zake humu ila anajua akitia tu mguu wahuni wataruka nae.
Mwanangu Masingeli we endelea tu kuchungulia hivyohivyo, ila siku ukijichanganya tu ukaanza kuandika ngonjera zako, basi utakua ndio rasmi umetia gundu, Arsenyau lazima itaanza kugongwa hovyohovyo.