Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,906
- 7,125
Long live empty fans like you.View attachment 3527331
Tuanze kumdiscus?, au tuachane nae kwa kua anamikimbio mizuri.
Haya ndio madhara ya kuongea bila kulaπππππ false hopers bana umemaliziaje hapo chini.
Vipi kuhusu gyokeres? βana mikimbio flani hivi na kupress sana hata asipofunga anasaidia team kubalance β hizi sababu za kila false hoper, nyinyi gyokeres afunge au aendelee ku press na kubalance team.
Narudia tena MSIMU HUU ARSENAL ANATOKA BILA KOMBE LOLOTE
Ushindwe kwako, kwetu si ndio tuta kubaka vibaya.Tulia zinarudi zote hizi, tukishindwa hapa bc huko huko kwenu tunakuja π
Na refer post yako ya jumatatuCastr
Mkuu kwenye post ya thread ya Manchester united umekosa huruma na ubinadamu.
Yaani ni zile umemkamata mwizi unapiga anazimia unamwagia maji akiamka unapiga anakata moto unamkorogea uji anapata nguvu kipigo kinaanza upya.That was very inhuman.
Siku hizi flano kapotea kabisa.piga spana mkuu
We Lofa....tukishabeba kombe tutakukaribisha kwny sherehe za ubingwa uje uhudhurie maana tunajua Bado ww ni mwenzetu ila una act kama hutupendi hiviπ€ π€ ...welcome to the Gyokeres showπππ false hopers bana umemaliziaje hapo chini.
Vipi kuhusu gyokeres? βana mikimbio flani hivi na kupress sana hata asipofunga anasaidia team kubalance β hizi sababu za kila false hoper, nyinyi gyokeres afunge au aendelee ku press na kubalance team.
Narudia tena MSIMU HUU ARSENAL ANATOKA BILA KOMBE LOLOTE
Ndugu yangu acha twende nao sawaCastr
Mkuu kwenye post ya thread ya Manchester united umekosa huruma na ubinadamu.
Yaani ni zile umemkamata mwizi unapiga anazimia unamwagia maji akiamka unapiga anakata moto unamkorogea uji anapata nguvu kipigo kinaanza upya.That was very inhuman.
Siku hizi flano kapotea kabisa.piga spana mkuu
Heri uwe tapeli kuliko kuwa mwehu ka wewe,ππEPL UCL msahau ....
Nyie wasindikizaji tu ndaza kabisa !
Tupo phase ya ngapi?
Arteta ni tapeli