makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,572
Huna baya, mtabiri tambitambi 😂🤣makaveli10, Mad Max keka lime anza kutiki😂
Ilivyo fika dk ya 90 kuna dingi kaanza kuni pigia kwa fujo, eti kiko wapi?Huna baya, mtabiri tambitambi 😂🤣
Alimuoneshea dole la kati simba wakati ndio kwanza anaingia mwituni 😂Ilivyo fika dk ya 90 kuna dingi kaanza kuni pigia kwa fujo, eti kiko wapi?
Nika muuliza mpira umeisha?, akajibu fyongo sasa hivi kazima simu😂🤣
Namsubiria mjengoni, lazima nimnase kofi kwenye uwalazaAlimuoneshea dole la kati simba wakati ndio kwanza anaingia mwituni 😂
Dogo umeanza kushabikia mpira 2012 halafu unashabikia Arsenal ?Namsubiria mjengoni, lazima nimnase kofi kwenye uwalaza
Dogo mimi nime anza kuangalia mpira nyumbani since 2003, mzee ali leta tv za hitachi na Panasonic.Dogo umeanza kushabikia mpira 2012 halafu unashabikia Arsenal ?
Walichokifanya jana ndio kenge jinsi walivyo.Damu nzito kuliko maji.
Jana wakati game linaanza, makenge yalikuwa yanaimba wimbo wao ule ule, wafungwe ili watukomoe Arsenal.
Na kweli, yalivyopigwa chuma, makenge yakaanza kushangilia bhana.
Dakika ya 94, wakati Fernandez anarudisha kamba, bhana weee, yasianze kushangilia tena.
Kweli damu nzito kuliko maji!
Niliandika hii commentKuna tatizo kubwa sana pale unyumbuni, game nyingi nyumbu wanacheza oya oya au kama vipi vipi
Sina uhakika kama amorim ndio amewaambia wacheze hiv ninavyoona mimi hapa
Kazi ya umeneja ni ngumu ukizingatia team zina vitengo vingine vingi ambavyo vinafanya maamuzi kwa ajili yako.Yaani wakajifanya kusema wapo nyuma yake na yeye akasema wanamsapoti leo kapigwa chini
Dogo kumbe wakishua enzi hizo unacheki Tv kwenu mna mpaka madishi wakati wengi wakiwa analog na Tv mpaka kwa jirani wachache.Dogo mimi nime anza kuangalia mpira nyumbani since 2003, mzee ali leta tv za hitachi na Panasonic.
2010 nime angalia fainali za kombe la dunia mwenyewe, nikiwa sebuleni.
Leo hii 2026 naangalia nitakacho, arsenal sio ya maduwanzi boya wee.
Aisee kumbe humu tupo na watoto, yaani 2008!! upo darasa la kwanza mi ndio napata mtoto wa kwanza, achana na zilizonywewa P2 kipindi nasoma, kama sivo ungeweza kuwa umri wa mwanangu.Dogo kumbe wakishua enzi hizo unacheki Tv kwenu mna mpaka madishi wakati wengi wakiwa analog na Tv mpaka kwa jirani wachache.
Mimi nimeanza 2008 enzi hizo nipo darala la kwanza
Mkuu tunashukuru kwa msaada wenu jana🤠🤠....ila tukikutana safari hii kuwadunda kupo palepaleAisee kumbe humu tupo na watoto, yaani 2008!! upo darasa la kwanza mi ndio napata mtoto wa kwanza, achana na zilizonywewa P2 kipindi nasoma, kama sivo ungeweza kuwa umri wa mwanangu.
Kiukweli alichokifanya Enzo jana cjapenda, hivi kwalile pira zito tuliowapgia round y kwanza mungu akawa upande wenu mkadroo, safari hii mtaweza kuhimili kweli?Mkuu tunashukuru kwa msaada wenu jana🤠🤠....ila tukikutana safari hii kuwadunda kupo palepale