Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hawa bournemouth wanakabia sana katikati na wanakuwa wengi.. inabidi wakati wakutoka ,fullback mmoja wa arsenal awe anakuja kuombea kati mipira.
 
Kipindi cha kwanza chote hakukua na important action ya kuonyesha timu inataka ushindi.

Njia zipo wazi watu wanalazimisha kurudisha mpira nyuma na sideway passes. Hakuna ambaye amekuja kutafuta ushindi.

Odegaard anapewa mpira ndani ya box, yupo peke yake hajisumbui hata kugeuka anarudisha mpira nyuma.
 
Arsenal kisasi kitalipwa Leo Cha Bournemouth, msimu uliopita nje ndani mmechapika, ngoja tuone sub za Saka na Jesus zitaongeza au kupunguza nini
 
Arsenal Bado mechi 17 tutangaze ubingwa

Ukitoa kenge, nyumbu, spurs, bournemouth, hizo ni must win games technically tutakua tumebakisha michezo 13 kutangazwa ubingwa

Happy new year
Duuh tunatamani mchukue ubingwa lakini sio kirahisi hivyo mdomoni tu, msimu wa 2022/23 if not mistaken, mlikuwa mnaongoza Ligi Kwa kipindi kirefu km Liverpool msimu Jana, Hadi kufika mwanzoni mwa Aprili gepu na mshindi2 Mancity ilikuwa ni zaidi pointi8/9 ivi bwana bwanaa kilichokuja kutoka, Yale ya klopp na guadiola kufukuzana Kwa gepu la pointi1 kuanzia Januari mpk May na Kukosa ubingwa.....
Sembuse nyie arsenal gepu la pt4 hili na hii Januari nusu msimu, mshaanza maandalizi ya sherehe za Ubingwa badala sherehe za kupambana na kuvuja jasho, hard work,mentality,spirit nk Kwa Ajili ubingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…