Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,488
- 96,955
Kwenye 9 points sisi 2 wins draw vs Liverpool, yeye kazi anayo kudadadeki 🔥Labda wanaweza kufanya kitu kwa ujio wa kenge mwingine kuiongoza timu hiyo jpil
Mimi mwenyewe nataka wafungwe nyingi za kutosha.Sunderland kapigwa na nyumbu akiwa ugenini, tumsubiri nyumbu na yeye aende pale kikaangoni
Binafsi naona nyumbu anaenda kufa
Kuhusu city kupoteana tusubiri hiyo jpil kenge watusaidie kumvuta shati labda ndio wataanza kuongea.
Ila mashabiki wa kenge wao wataka kufungwa sio chini ya chuma 5 wakiamini wanamkomoa Arsenal
Huyo liver tunamuua mapema sana, sio chini ya chuma tatu.Kwenye 9 points sisi 2 wins draw vs Liverpool, yeye kazi anayo kudadadeki
Kenge wakishinda kelele zitakua nyingi, draw itakua fair resultsMimi mwenyewe nataka wafungwe nyingi za kutosha.
Kama Forest alikufa kwa late minute goal means kuna mid teams zitamzuia City siyo lazima Chelsea.
Hao wafe hata kumi
Mara ya mwisho Chelsea anamfunga City ni fainali ya CL.Sunderland kapigwa na nyumbu akiwa ugenini, tumsubiri nyumbu na yeye aende pale kikaangoni
Binafsi naona nyumbu anaenda kufa
Kuhusu city kupoteana tusubiri hiyo jpil kenge watusaidie kumvuta shati labda ndio wataanza kuongea.
Ila mashabiki wa kenge wao wataka kufungwa sio chini ya chuma 5 wakiamini wanamkomoa Arsenal
Kenge na nyumbu inabidi wawapishe Kuna timu kama nne hivi zinakuja pale juu kutokea chiniMara ya mwisho Chelsea anamfunga City ni fainali ya CL.
Goli anafunga Kai.
Hawa usipige hesabu za ushindi na ni sawasawa wakibondwa wawe nje ya CL hata misimu mitatu kwanza ili wajue pesa na kubadili makocha siyo dawa
Sitoongelea timu yangu ya chelkenge mpaka watakapopata kocha 😎Q
Wakati tuna elekea kucheza na villa, chelkenge Mbaga Jr alikuwa ana omba tufungwe, kisha na yeye akabutuliwe na city.
Sasa Kwa walivyo fukuza kocha, hapa city kazi anayo kudadadeki.
We bwege nilikuambia mwanzo wa msimu nyny Huwa mkishafika katikati ya msimu mnasema Kocha out🤠🤠....sasa baba wa watu mmemtimua kwni yy ndo anamuelekeza Caicedo acheze ufala mule ndani au Garnacho akimbiekimbie.....yule mwalimu wenu inaonekana alikuwa anataka waletwe watu wa kazi nyny na Eghbali wenu mnamletea Gittens na Garnacho halafu mnataka mbebe ndoo kwli??....forward Delap na Pedro???.....jiqndaeni ipadavyo Carling Cup tukikutana.....habari ya kusema mna bahati Palmer hakuwepo safari hii hatuitaki....nyny bdo watoto wadogo sana kukaa Meza moja na watu wazima.....ila chondechonde jirani....j2 London iwe ya 💙....tafadhali sana
Za ndani palmerr ana wapiga wenzie makofi, aki lazimisha wamuite saka😂Sitoongelea timu yangu ya chelkenge mpaka watakapopata kocha 😎
Kocha mwenyewe wa mechi kubwa washamfukuza(Maresca) na still tukisimamia kwenye rekodi Chelsea misimu zaidi4 hawajapata ushindi mbele Mancity, hapo labda mechi na Brighton na Man Utd anaweza dondosha pointi, maana Brighton toka enzi za potter,De zerbi mara moja huwa anaisumbua sn city ht iwe Bora vp na mechi ya kwnza Brighton alipata ushindi ila guadiola atakuja kvngne kulipiza over thinker yule na mkumbuke kiungo wake rodri karudi.....next three games for arsenal and man city
Arsenal
- Bournemouth
- Liverpool
- notiham forest,
Man City
- chelsea
- brighton
- man united
suluhu 2 kwa chelsea and united, uwii 😁 😁
Amini usiamini, Chelsea win or draw.Kocha mwenyewe wa mechi kubwa washamfukuza(Maresca) na still tukisimamia kwenye rekodi Chelsea misimu zaidi4 hawajapata ushindi mbele Mancity, hapo labda mechi na Brighton na Man Utd anaweza dondosha pointi, maana Brighton toka enzi za potter,De zerbi mara moja huwa anaisumbua sn city ht iwe Bora vp na mechi ya kwnza Brighton alipata ushindi ila guadiola atakuja kvngne kulipiza over thinker yule na mkumbuke kiungo wake rodri karudi.....
Arsenal gemu ngumu hapo ni ya Liver, japo kikosi Cha kumfunga liver anacho na atataka kulipiza kufungwa mechi kwnza pamoja na kucheza vzur akaja kufungwa dakk za jioni goli la faulo na Zobo
Huna marinda wewe🤣🤣🤣 False hopes zinazoendelea humu hua zinafurahisha sana.
Sio kwa lengo baya bali ni kukumbushana tu maana binaadamu tumeumbiwa kusahau,
Msimu juzi Arsenyo ilikua inaongoza ligi kwa points 8, na zilikua zimebaki mechi 6 kumaliza ligi, cha ajabu City wanamaliza ligi wakiwa ndio mabingwa tena kwa kuwaacha Arseyau nyuma kwa points 8.
Hata JK alishawahi kusema kua "Arsenyau ni kichwa cha mwendawazimu"