Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuna cha maana alichoandika zaidi ya utumbo tu
Wewe kazi yako ilikua ndogo tu ya kunitajia open chances alizopata gyokeres au mchezaji yeyote wa arsenal game na wolves , wolves zote wamejifunga au basi game ya chelsea au aston villa taja open chance mlizotengeneza.
 
Arsenal mna deserve ubingwa Epl na FA cup au Carabao msimu huu mmeutafuta sn ubingwa Epl since2020 alaf kaja Arne Slot ndan msimu kwanza tu kabeba jpo kias flan alitembelea road map ya klopp, So muhmu hardwork&mentality
 
We have to be serious. City imeifunga Brentford na kukaa na clean sheet na imeanzisha usual starters wa kikosi 6.

Hii ni dalili ya timu ambayo imechoka masimango. Yes wachezaji wetu walikasirika juu ya game ya Wolves ila yale ni maneno. This weekend ni kusubiri vitendo.
 
Man City wamemweka kwenye orodha ya juu kabisa Enzo Maresca koach aw sasa wa Chelsea endapo kama PEP Guardiola hataendelea kuifundisha timu hiyo ya jiji la Manchester kuanzia msimu ujao wa 2026/2027
View attachment 3517150
Kuna mtu kauliza hivi:
Lakini kwanini Man City na Pep Guardiola hawamfuata Mike Arteta❓🤔
 
Si dalili ya kuchoka masimango, city imeanza rasmi kupiga hesabu za ubingwa.
Wakati city akianza hesabu rasmi nyinyi ndo mko ukingoni mwa kuutafuta ubingwa pumzi imekata, ni kama zile race za mita 1000 arsenal mnaanza kwa speed kali huku man city akiwa mdgomdgo nyuma ile ikishafika lapse ya december to april unaona speed inaongezeka wakati false hoper ukiwa umechoka taabani
 
Kinachonipa matumaini kuhusu city kwasasa ni kuina wachezaji wengine wanafunga, tofauti na mwanzo ambapo magoli ilikuwa ni halaand pekee
 
Tatizo letu kwa sasa kwenye final third ni ishu ya coaching, final third play inataka uwe flexible & daring, sisi game yetu kwa sasa ni risk avoidance, najua kwanini kocha anakuwa hivi, lengo lake ni ashinde ubingwa kwa namna yoyote, msimu aliyewasajili Zinny & Jesus alionesha anaweza kufundisha total voetbal, sina shaka na hilo, ila ukweli siridhishwi na timu inavyotengeneza mashambulizi hadi sasa, ni kama tumerely kwenye individual brilliance kuliko team's play
 
Game dhidi ya Chelsea nadhani it was the worst game of the season so far sikuangalia game ya wolves naona watu wanasema ilikuwa mbaya zaidi, Odegaard kuna kitu alikileta kwenye mechi dhidi ya chelsea km kuunganisha timu, kuleta flow & intent, lakini still we were too predictable the way we attacked. Hili ndio tatizo kubwa, we need to be more boring and confusing, tukiachieve hili, City hawezi kuthubutu hata kutusogelea. Sina mfano mzuri wa namna tunavyotakiwa ku attack zaidi ya Arsenal ya 2022/23
 
Nimeona kwenye mazoezi kuna internal challenge ya kum unlock gyokeres, yani pass to gyokeres so he can score many
 
Wolves ndio wameshashuka daraja

Kiatu cha Haaland

Arsenal tutapita na ndoo yetu

 
Ilibidi everton leo apigwe nne au mkono kabisa

Kuna namna arsenal atuchezi kwenye standard zetu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…