Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,406
- 96,731
Parten nzuri ni ya zubi/ rice/ eze, hii ya ode ni kupoteza ubingwa.Jana tungefedheheka mnooo
Huyu Labyrinth 84 ni mjinga mmoja tu asiye na lolote ambaye anastahili kupuuzwa😏
Ana stress sana anatafuta pa kuzipunguza matokeo ndiyo hivi kukurupuka kila sikuHuyu Labyrinth 84 ni mjinga mmoja tu asiye na lolote ambaye anastahili kupuuzwa😏
Wachezaji wetu Wana shida ya kuremba remba( miguso mingi isiyo ya maana) kwenye build up.Kama umecheki mechi ya Palace na City ndiyo utaelewa nikisema tunatakiwa tu kushinda mechi zetu.
Stori ni ileile, against Arsenal paki basi. Anyone else offer opportunity after opportunity after opportunity.
Lawama mnatupia team nyingine sasa baada ya gap la point 8 kupotea.Kama umecheki mechi ya Palace na City ndiyo utaelewa nikisema tunatakiwa tu kushinda mechi zetu.
Stori ni ileile, against Arsenal paki basi. Anyone else offer opportunity after opportunity after opportunity.
Tulia mwisho wa msimu tutakuwa wote hapo top 4 wewe ukiwa nafasi yako ya siku zote au kushuka zaidi.Sunderland walikataa kuweka badge ya Newcastle kwenye scoreboard na badala yake wakaandika " Visitors"😅
Labyrinth 84 usijifanye hukuona hiyo🤣View attachment 3515840
Hivi huwa unajiuliza huyo Haaland akipata jeraha hata mwezi mmoja Man city watakuwa kwa Hali gani?Lawama mnatupia team nyingine sasa baada ya gap la point 8 kupotea.
Arsenal pattern yao ya kushambilia ipo ivi mnategemea wingers tena sana RW (saka) yaani zubimendi or ode watapata mpira wanapiga kwa saka akokote au kuingia ndan apige cross mhangaike ndo utengenezaji wa magoli kutoka kwenu. Zaidi ya hapo hakuna cha maana mtafanya .
Game vs chelsea, brentford, aston villa , wolves magoli yamepatikana kwa njia hiyo, kifupi hamna njia yoyote ya ufungaji zaidi ya hio na set pieces.
Man city unaona kabisa mtu anafunguliwa na kusachiwa na midfielders na chances zinatengenezwa , bahati mbaya unaona kama team zinafunguka kwa kupenda kumbe ni uwezo wa man city
Yupo marmoush atakaa nafasi yake na still atafunga magoli mengi tu. Unahisi man city inabebwa na halland? Man city anaweza kutengeneza chances nyingi kutokana na wachezaji walionao ndo maana unaona halland ana goal nyingi.Hivi huwa unajiuliza huyo Haaland akipata jeraha hata mwezi mmoja Man city watakuwa kwa Hali gani?
Bora Sisi Arsenal magoli yanatoka pande zote yaani hivi tunavyozungumza karibia kila mchezaji wa Arsenal ana goli, tofauti na City ambao asilimia 85 ya magoli yao yote yamefungwa na mchezaji mmoja tu ambaye ni Haaland,kitu ambacho ni hatari zaidi kwa timu.
Shida yako ni hujui kuangalia angles zote huwa unapayuka payuka tu
Hakuna timu ambayo huwa haitengenezi chances kwenye mechi.Yupo marmoush atakaa nafasi yake na still atafunga magoli mengi tu. Unahisi man city inabebwa na halland? Man city anaweza kutengeneza chances nyingi kutokana na wachezaji walionao ndo maana unaona halland ana goal nyingi.
Gyokeres si huyo hapo anacheza kila siku ila unaona anafunga? Unakumbuka hata gyokeres kufunga ilikua lini? Unajua hata kwanini hafungi sababu ni chances hapati wala hazitengenezwi. Mipira ya crosss na set pieces kichwa anapiga yoyote tu.
Hatari ya team ni inapokua haitengenezi chances na sio mtu mmoja kufunga.
Nembu nitajie chances 2 za maana mlizotengeneza vs wolves , aston villa.
Victor Goyk lini tuanze kumchambua ? Ama mikimbio na link up vinamtosha ?
Game against wolves mlitengeneza chances zipi? Unajua kutengeneza chances kukoje? Achana na hizi papatupapatu za kupiga cross watu washambuliane ndani ya box.Hakuna timu ambayo huwa haitengenezi chances kwenye mechi.
That's why kuna " wasted chances" na "goalkeeper saves"
Muhimu ni jinsi wachezaji wanavyozitumia zile chances.
Kwa EPL Haaland ana conversion rate kubwa kuliko wachezaji wengine.
Mchezaji kama Jeremy Doku ni mbabaishaji tu anachojua Sana ni kudribble ila kufunga hajui
Wewe mwenye njia nyingi za kufunga uko wapi?Lawama mnatupia team nyingine sasa baada ya gap la point 8 kupotea.
Arsenal pattern yao ya kushambilia ipo ivi mnategemea wingers tena sana RW (saka) yaani zubimendi or ode watapata mpira wanapiga kwa saka akokote au kuingia ndan apige cross mhangaike ndo utengenezaji wa magoli kutoka kwenu. Zaidi ya hapo hakuna cha maana mtafanya .
Game vs chelsea, brentford, aston villa , wolves magoli yamepatikana kwa njia hiyo, kifupi hamna njia yoyote ya ufungaji zaidi ya hio na set pieces.
Man city unaona kabisa mtu anafunguliwa na kusachiwa na midfielders na chances zinatengenezwa , bahati mbaya unaona kama team zinafunguka kwa kupenda kumbe ni uwezo wa man city
Hahaha!!! Ligi kwani imeisha mkuu??Wewe mwenye njia nyingi za kufunga uko wapi?
Sitakujibu tena. Chochote. Mpaka timu yako ishinde mechi tatu mfululizo.
Game against wolves mlitengeneza chances zipi? Unajua kutengeneza chances kukoje? Achana na hizi papatupapatu za kupiga cross watu washambuliane ndani ya box.
Nitajie basi chance alizopata gyokeres akashindwa ku convert kuwa goals hata 3 tu.
Chelsea , brentford wolves nionyeshe clear chance mlizotengeneza
Ukiwa shabiki wa Arsenal huwezi kuelewa alichokiandika hapo.Ila we jamaa unachekesha Sana, kwa hiyo hizo mechi za Chelsea, Brentford na Wolves tulipoteza?