Ødegaard kila mpira unaopata anataka ampasie Saka.halaand ana pambaniwa ili apate mpira pale city, sisi arsenal kila mtu ana selfish mode.
Gyokeres ana struggle sana kupata mpira, yaani winga za pembeni hazina maajabu.
Bora eze huwa ana balance kwa kusambaza njia zote, huyo odergard ana zingua kinyama.Ødegaard kila mpira unaopata anataka ampasie Saka.
Arteta really needs to address this sternly.
Individual brilliance inahitajika Sana kwenye mechi kama Ile ya Wolves.Kila timu ikipaki basi huonekana bora dhidi ya Arsenal, mifano ya hivi karibuni ni Chelsea, Villa na leo Wolves.
Notice kwamba timu zipo radhi kupaki basi dhidi ya Arsenal ila siyo dhidi ya wapinzani wengine.
Kuna comments alitoa mchezaji wa United alisema "Timu zikicheza na sisi zinacheza zikiamini zinachukua point" tukitumia hii logic ni kumaanisha kwamba Wolves alicheza na City akiamini atachukua points pia?
Akaamua kujiachia bila kupaki basi na akafa 4 bila.
Iangalie Palace kesho.
My point is that we have to play our games. The most stubborn side will go and give our opponents every opportunity imaginable.
Ødegaard kuna muda huwa anazingua Sana, jamaa huwa anausahau kbsa kucheza na LW yeye huwa anamfikiria tu Saka Muda wote na ndo maana mara nyingi upande wa kushoto huwa unakuwa domant kbsaBora eze huwa ana balance kwa kusambaza njia zote, huyo odergard ana zingua kinyama.
Match ya Villa uliangalia kweli mkuu? Villa alipaki bus wapi? Kupaki basi kukoje maana game na villa , villa was far better kwenye kila angle. Villa amewafungua anapiga penetration kali sana ile game na chances kibao walikua wanategeneza malen & watkins waliwaangusha sikuona clear chances yoyote kutoka kwenu against villa.Kila timu ikipaki basi huonekana bora dhidi ya Arsenal, mifano ya hivi karibuni ni Chelsea, Villa na leo Wolves.
Notice kwamba timu zipo radhi kupaki basi dhidi ya Arsenal ila siyo dhidi ya wapinzani wengine.
Kuna comments alitoa mchezaji wa United alisema "Timu zikicheza na sisi zinacheza zikiamini zinachukua point" tukitumia hii logic ni kumaanisha kwamba Wolves alicheza na City akiamini atachukua points pia?
Akaamua kujiachia bila kupaki basi na akafa 4 bila.
Iangalie Palace kesho.
My point is that we have to play our games. The most stubborn side will go and give our opponents every opportunity imaginable.
😂😂😂 nyinyi si mmeamua kwenda na msemo wa fergie kwamba solid defence make you win titles wakati kufunga kwenyewe ni kwa manati.Watu wanageana pasi za kifala nyinyi mpo tu mnadefend conservatively
Sio anapambaniwa sema kuna watu wana pasi zenye macho mpira ukipigwa unafika kwake.halaand ana pambaniwa ili apate mpira pale city, sisi arsenal kila mtu ana selfish mode.
Gyokeres ana struggle sana kupata mpira, yaani winga za pembeni hazina maajabu.
Wazee wa vichwa naona merino anaruka vichwa tu hapo. Yaani kubahatisha magoli ya vichwa dakika za jioni ndo uchukue points 6 kwangu.Mlikuwa mmetuzoea Sana ila nakuhakikishia huu msimu tunachukua point zote 6 kutoka kwenu.Tatu tayari zipo kibindoni.
Kwamba wewe unafuatilia mechi za Arsenal kuliko mimi shabiki wa Arsenal? Na unaelewa Arsenal inachofanya kuliko mimi shabiki wa Arsenal?Match ya Villa uliangalia kweli mkuu? Villa alipaki bus wapi? Kupaki basi kukoje maana game na villa , villa was far better kwenye kila angle. Villa amewafungua anapiga penetration kali sana ile game na chances kibao walikua wanategeneza malen & watkins waliwaangusha sikuona clear chances yoyote kutoka kwenu against villa.
Arsenal yenyewe team yako ni game gani inacheza mchezo wa kufunguka sikumbuki zaidi ya game na Tottenham, mnacheza mchezo wa kujilinda zaidi mkitegemea setpieces angalia mipira mingi ya arsenal inachezwa pembeni kwa saka na martineli hapa katikati mnawavunja kuni tu hamna wachezaji kama cherki au reijdner .
Mchezaji pekee mwenye IQ ya juu pale arsenal ni trossard, anaweza kutengeneza pass na chance sehemu ngumu , gyokeres alikua anazunguka tu uwanjani lakini alipoingia trossard ndo anapata chance ya kushoot .
Nasemaje mpaka kufika january nyinyi mtakua mshajichokea man city ana kila dalili ya kuongoza kwa game la points 7 au 8 january hii
Kufunga kwa manati - Arsenal ni ya pili kwa kufunga magoli mengi wa kwanza ana 35 Arsenal ina 30.😂😂😂 nyinyi si mmeamua kwenda na msemo wa fergie kwamba solid defence make you win titles wakati kufunga kwenyewe ni kwa manati.
Defence yenyewe watu wakiwavulia shati dakika 10 nyingi unaona nyavu zinatingishika
Jana tungefedheheka mnoooNilivyo ona wame sawazisha, nika chimba chap. bahati ime rejea.
Huu msimu ukipata hata Sare kwa Arsenal uje uniite mbwa nimekaa pale👉Wazee wa vichwa naona merino anaruka vichwa tu hapo. Yaani kubahatisha magoli ya vichwa dakika za jioni ndo uchukue points 6 kwangu.
Wewe mgeni na arsenal nini?? Hii arsenal ambayo haina magoli hata 5 ya open play , leo yenyewe magoli wolves wamejifunga tu
Mwana ana tabia ya kukaa na mpira mguuni muda mkubwa bila sababu. Ila timu nzima imerudia ujinga wa back passes na sideway passedarsenal ikiwa na ø ndani ni rahisi sana ku predict itashambulia vip ,jamaa always anacheza na winger wa kulia tu ,timu pinzani nyingi zimeisoma hii mbinu.
arteta na benchi lake inabidi wakune kichwa kutafuta namna nyingine bora zaidi ya kujenga mashambulizi.