Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,107
- 3,191
Woltemade akiwa kiazi jokeres atakua nan? yaan mnauziwa linyanyua vyuma ndo mshinde ligi kweli?Woltermade si kiazi tu anashindwa kuwaokoa na hizo loss tano na kua nafasi ya 12
Unajua kama Arsenal imeshafuzu raundi ya 16 CL na ipo nafasi ya kwanza kila kombe? Nyinyi mmebaki kwenye makombe mangapi?Mwendo wa ubingwa, aston villa alinipigia ball tamu sana una enjoy kabisa yaani pass zinaenda kwenye njia team inatengeneza space and chances za kueleweka. Nyinyi mnasubiri mipira ya kona ndo mshinde.
For 22 years lakini bado mnafanya utani sana yaani EPL unyanyue kwa magoli ya kona !! Mko serious kweli nyie vibaka 😂
Ile mentality timu yako ya wachezaji hadi wanasusa kurudi uwanjani ili waende Liverpool hamtakuja kuipataNewcastle nafasi ya 12 isikupe shida kadri mnavyoshuka na sisi ndo tunavyozidi kupanda .
Kwa hisani ya buendia naitafuta ile picha rice na zubimendi wamelala chini huku raya akichimba uwanja
Kufuzu 16 bora kitu gani zaidi ya false hopes tu , mpo nafasi ya kwanza kila kombe lakini msimu ukiisha mtaondoka na zero trophy. PIN hii comment halafu usubiri May uone kama ni uongo.Unajua kama Arsenal imeshafuzu raundi ya 16 CL na ipo nafasi ya kwanza kila kombe? Nyinyi mmebaki kwenye makombe mangapi?
Mchezaji wenu bora kabisa aliwapima akawaona hamna futue kafosi kusepaKufuzu 16 bora kitu gani zaidi ya false hopes tu , mpo nafasi ya kwanza kila kombe lakini msimu ukiisha mtaondoka na zero trophy. PIN hii comment halafu usubiri May uone kama ni uongo.
Newcastle kuna kombe hatupo nembu nitajie mmoja? Nina uhakika 100% EPL hamchukui huko uefa ndo kabisa sikuweki kabisa.
Isak kasusa wapi zile ni mbinu tu ya timu kupiga pesa ndefu Paundi 150 unachukulia masihara nini? Arsenal toka inaanzishwa mpaka leo hata kuuza mchezaji paundi 50 haijawahi kutokea.Ile mentality timu yako ya wachezaji hadi wanasusa kurudi uwanjani ili waende Liverpool hamtakuja kuipata
Arsenal ni timu kubwa haitegemei kujiendesha kwa kuuza wachezaji. Timu kubwa zilizouza wachezaji 50M kupanda hazifanyi hivyo kila msimu.Isak kasusa wapi zile ni mbinu tu ya timu kupiga pesa ndefu Paundi 150 unachukulia masihara nini? Arsenal toka inaanzishwa mpaka leo hata kuuza mchezaji paundi 50 haijawahi kutokea.
Waliosusa wanajulikana kina fabregas mpaka wakatoa hela mfukoni waondoke arsenal kina clichy walikimbia usiku usiku kina nasri kina sagna hao ndo wasusaji sio geordie , hakuna geordie msusaji legend mwenyewe , henry alikimbia team
Ukubwa wa arsenal upo wapi boss? Madrid na ukubwa wake wote anauza wachezaji kwa bei ndefu tu, barcelona na ukubwa wake pia kauza wachezaji kwa bei ndefu tu.Arsenal ni timu kubwa haitegemei kujiendesha kwa kuuza wachezaji. Rimu kubwa zilizouza wachezaji 50M kupanda hazifanyi hivyo kila msimu.
Ila iangalie Brighton na Newcastle
Mkuu naona umeamua kupiga za kibofu tu.😂Ukubwa wa arsenal upo wapi boss? Madrid na ukubwa wake wote anauza wachezaji kwa bei ndefu tu, barcelona na ukubwa wake pia kauza wachezaji kwa bei ndefu tu.
Nionyeshe ukubwa wa arsenal kidogo.
Madrid kauza ronaldo, di maria na ozil kawauzia kwa bei kubwa. Barcelona pia ivyo ivyo sanchez aliuzwa bei kubwa mpaka wanangu wa chelsea pia kila siku wanawapiga kwa madueke na kai havertz.
Sasa unaposema arsenal team kubwa unaongelea ukubwa upi ? Maana team kubwa zote zinauza wachezaji kwa bei kubwa.
Mkuu hawa nawajua vizuri sana sio kwa kubahatisha maana wamenilisha false hopes zaidi ya miaka 20. Hakuna kitu wataniambia nisikijue.Mkuu naona umeamua kupiga za kibofu tu.😂
Castr alikua anatafuta tu sababu ya kukimbia jukwaa yaani tusingetumia nguvu kumtafuta angeingia mitini kabisa . Castr tafuta sababu nyingine ya kulikimbia jukwaa na si ile ya usajili wa winga teleza madueke
Kwanini haujui kusoma unaacha details ndogo ndogo?Ukubwa wa arsenal upo wapi boss? Madrid na ukubwa wake wote anauza wachezaji kwa bei ndefu tu, barcelona na ukubwa wake pia kauza wachezaji kwa bei ndefu tu.
Nionyeshe ukubwa wa arsenal kidogo.
Madrid kauza ronaldo, di maria na ozil kawauzia kwa bei kubwa. Barcelona pia ivyo ivyo sanchez aliuzwa bei kubwa mpaka wanangu wa chelsea pia kila siku wanawapiga kwa madueke na kai havertz.
Sasa unaposema arsenal team kubwa unaongelea ukubwa upi ? Maana team kubwa zote zinauza wachezaji kwa bei kubwa.
Kuna muda niliacha mnaongoza sasa hivi nakuta mmesuluhu. Mtatoboa playoffs kweli nyinyi?Castr alikua anatafuta tu sababu ya kukimbia jukwaa yaani tusingetumia nguvu kumtafuta angeingia mitini kabisa . Castr tafuta sababu nyingine ya kulikimbia jukwaa na si ile ya usajili wa winga teleza madueke
16 bora lazima tutoboe mzee hilo halina shaka. Shaka ipo kwenu tu maana mnatoka zero trophy au unataka kubisha?Kuna muda niliacha mnaongoza sasa hivi nakuta mmesuluhu. Mtatoboa playoffs kweli nyinyi?