Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukisearch humu utakuta nilishasema.

Na nitarudia leo mara ya mwisho.

Arsenal tunachotaka ni kumfunga Chelsea na Manchester United tu.

Mafanikio ni hayo tu. Hizi bragging rights ndiyo sisi tunazitaka.

Hawa mnaowaita best wakija wakaondoka na ratings za orange ndiyo furaha yetu.
 
Ivi kuna siku mnakosa sababu.....Gabriel angekwepo angefunga?
KWani chelsea hajacheza consecutive tough match?
Mnabahati ile red imewasaidia leo mgelala na 4 kama siyo 5🀣🀣🀣🀣
 
Mashabiki wa Madrid na wa Chelsea wakigundua wanazidiwa hoja kimbilio lao linabaki kukumbushia historia.
 
Arsenal tunachotaka ni kumfunga Chelsea na Manchester United tu.

Mafanikio ni hayo tu. Hizi bragging rights ndiyo sisi tunazitaka.
πŸ˜‚

Kumbe haya mafanikio yenu hayamzuii Chelsea kuendelea kuchukua makombe πŸ˜‚
 
Worst performance msimu huu ni dhidi ya Manchester na leo Chelsea.

Ila hizi ni timu mbili ambazo hua sizihofii so tulikua shaky ili niliamini hatuondoki kinyonge. It's bad imekua suluhu
 
Kama unaweza chukua. Amka kesho ukiwa nafasi ya kwanza
Makombe ni process ambayo nyie hamuiwezi, ndio mana mwanzo wa ligi mnafanya vzr sana ila kumalizia ndo mnaanza kurukaruka
 
Huwezi kulijua mana hujawah kushiriki hata kuwa kama mgeni rasmi
Hilo kombe halina tofauti na Audi cup au Emirates Cup.

Ndiyo sababu kocha wenu alisema aliwaambia wachezaji wake washinde kwakua linaweza kua na umuhimu siku za usoni.

Sasa utumbo hauna umuhimu na kocha wenu anajua unakuja kupigia kelele watu?
 
Makombe ni process ambayo nyie hamuiwezi, ndio mana mwanzo wa ligi mnafanya vzr sana ila kumalizia ndo mnaanza kurukaruka
Hatuiwezi process? Sasa tunakuaje na makombe 48 nyinyi mnakua nayo 33?

Unavuta bangi bruv?
 
Hilo kombe halina tofauti na Audi cup au Emirates Cup.

Ndiyo sababu kocha wenu alisema aliwaambia wachezaji wake washinde kwakua linaweza kua na umuhimu siku za usoni.

Sasa utumbo hauna umuhimu na kocha wenu anajua unakuja kupigia kelele watu?
Haya nambie kombe la maana ambalo nyie mnalo afu Chelsea hana
 
Hatuiwezi process? Sasa tunakuaje na makombe 48 nyinyi mnakua nayo 33?

Unavuta bangi bruv?
Hayo makombe 48 n makombe yapi hayo mkuu?
Haya, kati ya hayo 48 onyesheni kombe moja la nje ya UK
 
Unataka niorodheshe makombe 48 hapa? Ili tu nikuridhishe mtu sikujui hunijui?

Upo serious nigga?
Elewa swali.

Taja kombe moja, moja, moja, moja sio mawili, kombe moja la nje ya UK.

Kombe moja sio makombe 48, kombe moja, kombe moja tuu uwiiiiiiiii kombe moja tuu, kombe moja tuu.

Kombe moja tuu, sio mengi, moja tuu.

Labla hapa utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…