Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 296
- 513
Nakumbuka hii, Liverpool bado ataendelea kupoteza sana
Yes, umeongea kitu kizuri mkuuSasa hivi tuizungumzie timu yetu,achaneni kusemana hata Kama mtu alikimbia wakati tunafanya vibaya acha Sasa hivi awe huru huyo bado Ni Arsenal Na anatufaa kuwasema kina flano Na mr Liverpool,kinachotuunganisha Ni Arsenal tuwe focus Kama mkorea.LET ENJOY ARSENAL STATUS NOW,Na tujadili tunatoboaje MAY Na kombe letu
Wajikaze na leo, rekodi izidi kutambaToka kuanza kwa mwezi wa kumi, Arsenal kacheza mechi saba, kashinda zote kikubwa zaidi hajarusu bao hata moja.
View attachment 3496744
🤣🤣🤣 Bagabeach nahisi utakua mgeni na Arsenyau, Ni rahisi Sunderland kushinda ligi msimu huu kuliko Arsenyo, Arsenyau sio timu ya kuitilia maanani sana linapokuja suala la kubeba makombe, Arsenyau chini ya Tetea kiwigi misimu yote hua wanaishia kua wapenzi wasindikizaji.Msimu huu mnachukua ubingwa....lkn 2028 ni zamu yetu man u, tuna project ya EPL kabla au ifikapo 2028
Huyo Evra ndo nani, msikilize the GOAT Ronaldo, achana na hao wachezaji wa kawaida🤣🤣🤣 Bagabeach nahisi utakua mgeni na Arsenyau, Ni rahisi Sunderland kushinda ligi msimu huu kuliko Arsenyo, Arsenyau sio timu ya kuitilia maanani sana linapokuja suala la kubeba makombe, Arsenyau chini ya Tetea kiwigi misimu yote hua wanaishia kua wapenzi wasindikizaji.
Washawahi kuongoza ligi siku 258 halafu zimebaki siku 17 ligi iishe wakatupa taulo chini.
Hawa Evra aliwafananisha na Netflix, wazee wa next season kila msimu.
#Arsenyau fungu la kukosa.