Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wewe hufai kuwa footballer, heri ucheze mdako kwa hulka yako itakuwa bora.
Jamaa wewe mkorofi sana , ila mwamba kweli Kuna msimu alikuwa anatamva majukwaa mengine kucharua na kuleta uchambuzi mwishoni aseno ilipoanza kufanya vibaya wahuni wakaanza kupiga spana humu kwa hasira mwamba alikinbia na kuachia msala wenzake humu wa nyuki aliochokoza.

Ananikumbusha mwamba Aaron Arsenal Zamani alikuwa na kawaida ya Usnitch wa kukimbia msala timu ikianza kuyumba na kukimbia jukwaa la mapishi.
 
Aaron Arsenal ndio Hamis 77
Mkuu jamaa hana hata akili ya kubadilisha muandiko.
 
Katika vitu siwezi basi ni KUCHUKIA, siwezi kabisa hifadhi chuki moyoni mwangu..
Huwa nakufurahia tu mwanangu, nakuonaga kama katuni fulani hivi, ama hamnazo kama mwezi mchanga hivi, kuna wakati kaskazi, kuna wakati kusi
πŸ€£πŸ˜‚
Toa hiyo chuki, tafuta Hela huo muda wa kunichukia MimiπŸ˜‚πŸ˜‚

Nimekoment humu, umeumia

Kumbe uliweka chuki kifuani, halafu sio mara ya kwanza ,awali nilijua ulipitiwa ,kumbe Bado una hasira na MimiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siwez kukimbia ,halafu humu nilipunguza tu ku comment ,nilihamishia X huko ,

Humu nimekuwa nakuja mara chache sana,

Wanaonijua wanajua kuhusu soccer nafanyia wapi

Kwahiyo nashangaa kukoment humu mtu anajawa hasira
 
wewe hufai kuwa footballer, heri ucheze mdako kwa hulka yako itakuwa bora.
Una chuki na Mimi Hadi unatia aibu,

Kisa niliucharura uislamu?πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio maana lihamia X kidogo Kuna wenye elimu, nacharura nao kuhusu Uislamu,halafu kwenye issues za Arsenal tupo pamoja na tunasaidiana

Kumbe wewe huku umeweka chuki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unataman unimeze kabisa
 
Toa hiyo chuki, tafuta Hela huo muda wa kunichukia MimiπŸ˜‚πŸ˜‚

Nimekoment humu, umeumia

Kumbe uliweka chuki kifuani, halafu sio mara ya kwanza ,awali nilijua ulipitiwa ,kumbe Bado una hasira na MimiπŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣We kenge, huwezi kuniambia nitafute pesa hali ya kuwa sijawahi kukuomba msaada, familia yangu haili kwako,
Unapata wapi ujeuri wa kuniambia nitafute pesa πŸ€£πŸ˜‚

Narudia tena katika vitu siwezi maishani basi ni KUCHUKIA MTU, sijawahi kabisa kuwa na k8tu hicho moyoni.

Kikubwa tu mwanetu mie huwa nakuenjoy sababu ni kama mtu ambae kuna nati kichwani hazipo sawa vile.
πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…