Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I would like to take this precious opportunity to congratulate Manchester city for winning the EPL 2025/2026.

THANK YOU FOR YOUR ATTENTION TO THIS MATTER.
 
Kwa upande wangu Gyokeres akifunga huwa nafarijika sana.

Maana kuna wachawi wengi huwa wanakesha vilingeni ili jitu bad lionekane flop kama Isak.

Yule Isak liverpunga wajikumbushe kwa Andy Caroll ndio watawajua Newcastle vizuri.
Isaka pale Newcastle,timu ilikuwa inamzunguka ,ndio maana alionekana vile,

Isaka Bado sana kuingia level za CF kama kane, halland ,mbappe

Liverpool kutoa Β£120m ni risk, binafsi naamini kama Liverpool watamzunguka basi atakuwa hatari

Kwasasa ebitoke ana impact kuliko huyu msomali

Kingine nisisahau pale kwa Wizi wameibiwa kweli

€150m kwa yule ni hasara

Uchezaji wake kwa EPL Aya struggle sana

EPL haitaki watu laini laini
 
Atletico walipopigwa goli la kwanza ,wakafunguka

Hapo ndio ilikuwa kosa

Ndani ya dakika 13 chuma 4

Pep siku ile alicheza kama Mourinho,hakuwa mjinga
Naona Umesha anza uchambuzi wako uchwara, halafu tukisha pigwa una kimbia jukwaa na kuanza kuhubiri dini zako uchwara.

Bro uchambuzi huwezi, arsenal tuachie kama ilivyo.

mkorea, makaveli10, HENRY14, Flano, Mbaga Jr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…