Castr umerudi na ID mpya??Nilidhani wajanja wapo huku, kumbe siyo. Mnashindwaje kutumia VPN?
Hapana sio yeyeCastr umerudi na ID mpya??
Does Gyokeres know how much we paid for him?
Nitamkataa Gyokeres pale tu atakapoanza kupata chances kama za Nunes halafu anakosaDoes Gyokeres know how much we paid for him?
Tembo ametulia on top
True,Nitamkataa Gyokeres pale tu atakapoanza kupata chances kama za Nunes halafu anakosa
Kumbe una angalia mpira, uki angalia lazima uone gyokeres ni threat kwa mabeki.True,
Hadi dakika hii usumbufu wa G unatusaidia sana pale mbele
Mabeki wa timu pinzani hawapandi kizembe
Concentration ikiwa kubwa kwa G, inatoa advantage kwa wengine
Halafu ana mikimbio mizuri. Højlund wa Arsenal.True,
Hadi dakika hii usumbufu wa G unatusaidia sana pale mbele
Mabeki wa timu pinzani hawapandi kizembe
Concentration ikiwa kubwa kwa G, inatoa advantage kwa wengine
Ikawe heri kwetu.Tembo ametulia on top
Liverfool wanaenda kudondosha points zaidi ya 6 tena kwa hizo game 5 zijazo
Lile jamaa lina mwili mkubwa ila lina kasi balaa.True,
Hadi dakika hii usumbufu wa G unatusaidia sana pale mbele
Mabeki wa timu pinzani hawapandi kizembe
Concentration ikiwa kubwa kwa G, inatoa advantage kwa wengine
Umemaliza au bdo unaendelea kuandika pumba.Naona utetezi mwingi wa Victor G......! Yule ni striker, kazi yake ni kufunga na sio kingine !
Ooh mara mikimbio, sijui anapambana na mabeki wengine wanapata mwanya wa kufunga , mara possession etc.... bla bla kibao...pale mmepigwa, kwa umri wake ameeshahit kwenye peak yake..... msidhani atabadilika tena ! Mkimpeleka farmers league huko kama France, Portugal, Holland anakupigia 60G/A per season.... ! EpL havuki goli 10 ! Mmetapeliwa na Sporting.... kumbuka ile kauli yao "no refund "