Hii game mimi nilishaiona kwenye sub nilizokua nazifikiria na kocha kapita mule mule
Newcastle waliamua kukaa nyuma, kama unataka ushindi basi lazima mmoja atupishe rice au zubimendi
Watu wa ku-disturb defense line hapo ndio unaona ata downman panapobidi aingie tu
Kipindi cha pili ndio tuliingia kama arsenal