Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii weekend mechi za wakubwa zote nightmare.... pambaneni walau mtoke na pwenti moja sio kukandwa
 
Magalhae Gabriel ni liability kwa Arsenal,
Against Man City yeye alikuwa ndio sababu ya goli na leo ndio kaguswa kajiangusha, mchezaji mzuri lakini mzembe kwenye kazi
Ni kweli vs City alikutwa out of position.. lakini bado yeye ni binadamu km wewe, ana mazuri mengi ukiondoa makosa machache.

Na pia ni moja ya mabeki wetu bora na yuko strong sana even more than Saliba km unafuatilia vizuri comments za baadhi ya wachezaji.. ni hivyo tu ana nyota mbaya na muda mwengine haongelewi au hapewi sifa anayostahili, sifa anaishia kupewa Saliba.
 
Dakika 90 Newcastle tunamkanda
Hii game mimi nilishaiona kwenye sub nilizokua nazifikiria na kocha kapita mule mule

Newcastle waliamua kukaa nyuma, kama unataka ushindi basi lazima mmoja atupishe rice au zubimendi

Watu wa ku-disturb defense line hapo ndio unaona ata downman panapobidi aingie tu

Kipindi cha pili ndio tuliingia kama arsenal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…