Arsenal wamekubali kufungwa tayari,
1) huwezi kubadilisha team ya ushindi
2) Madueke alikuwa anazuia watu wawili tayari, Doku yupo free
3) Saliba hakuwa na sababu ya kuanza kwenye game hii
π€£π€£π€£ Kweli maisha yanaenda kasi sana, katika maisha yangu sijawahi kufikiria kua ipo siku Pep Guardiola anaweza kubadilika na kua prime Mourinho.
Ila The Ganjaz kwa magoli ya papatu papatu mko vizuri sana.
Kweli maisha yanaenda kasi sana, katika maisha yangu sijawahi kufikiria kua ipo siku Pep Guardiola anaweza kubadilika na kua prime Mourinho.
Ila The Ganjaz kwa magoli ya papatu papatu mko vizuri sana.