arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
It is not a player...it is the team....Manunu hata kama wangekuwa na Haaland bdo angeonekana flop....the team is rotten from the top to the core....ili watoke hapo walipo wanatakiwa waondokane kwanza na mentality ya kwmba sisi ni wakubwa...wakubali Hali halisi kwmba wao ni mid table team kwa sasa hii itapunguza presha kwa wachezaji....lakini pia wapate makocha sahihi na wawape mda ku implimate mawazo yao...mm nawashauri waachane na hyu Amorim wamchukue yule Babu Nuno na wampe mda na uhuru....they will be back....ila vngnevyo hakyanani tutabaki tunabishana na mashabiki wa Chelkenge na Livakuku hmu maana wao watakuwa Championship hukoWe've dodged a huge bullet. Huyu Sesko ni very average, physically not enough. Not even close to what we wanted.