Mkuu mambo siyo fresh oops mswano leo tuna Ho******rd We* ... ... ... ... ooops Hord We kinara wa Brown envelopes ooops bahasha ... .. chacha inategemea maboss wake wamemwambia vipi inabidi vijana wacheza mpira wa hali ya juu ... ... anyway my time is up ngoja niwahi kuwaona vijana.. ... ... ... . chi unajua kuna msiba mkubwa kule kwa Manure ... ... ...
Kwa control na technics Ramsey anamfikia Fab na anaweza kuwa kamwacha. Tatizo la Ramsey ni umaliziaji tu..sijui ni lini atakuwa na jicho la goli na final ball.