Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Liverpunda amemuanzisha Sobozlai beki namba tatu


Arsenal hii inatisha mno
 
Arteta ameingia vizuri, hatutakiwi kuwa wanyonge in midfield


Kuhusu ukuta upo vizuri, chini ya uongozi wa saliba

Hofu yangu ni kwamba kama tayari washacop kucheza na Gyokeres
 
Kumbe FA walianza kutupiga vita kitambo tu.
Watesi wetu hawa walipiga pini dili letu la kumleta Diego Maradona Highbury kutoka Boca Juniors.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…