Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hutamuona mpaka tufungwe.
Pia ni faraja sana kukuona huku mkuu, bwana Castr.
Eze sasa amewasili na kuna bwana mdogo wakuitwa Hincapiรฉ anakuja kusidia overloading ya Left Wing ili Eze awe anaingia kwa ndani. Aiseee...the league ain't ready...
Hincapie ni bonge la beki, aki zoea ligi basi tume maliza.
 
Kuna yule mpuuzi Chesko ngongoti alituzungusha miaka miwili halafu akaenda unyumbuni baada ya sisi kuchukua Jokeri. Nadhani na Jamie Gittens ameenda Chelkenge na Isak anataka kwenda LiVARKuku mpaka amegoma kufanya mazoezi kwa wale mijuisi ila kwa asilimia kubwa ulimwengu wa soka umekubali project yetu.
Hata Mosquera na Hincapie wanakuja japo wanajua tuna Saliba na Gabriel. Chesko eti aliogopa kuja kupambania namba na Havertz ๐Ÿ˜€
 
Haitwi chesko, yule ni dada sesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ