makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,989
- 104,483
Lakino mimi bado nina imani na mobutu seseko, yule sio mchezaji mbovu..We dodged a bullet with Sesko. Thank you Andrea Berta.
Gyokeres game mbili goal mbili
View attachment 3456143
Hakuna mtu muleLakino mimi bado nina imani na mobutu seseko, yule sio mchezaji mbovu..
Akicheza naona ana kitu, shida hilo litimu ni kama kikundi cha wapiga tarumbetaHakuna mtu mule
Unaona kitu gani.. straika anakimbia na mpira huku anaangalia chini.Akicheza naona ana kitu, shida hilo litimu ni kama kikundi cha wapiga tarumbeta
Mnatengenezaga vitakwimu vyenu uchwara ilimradi tu mjipe furaha, mchezaji akitoka chelsea akija anawaeka hao value players benchi.View attachment 3454693
Hatuko vibaya sana. Tuko vizuri tu on paper. Ila wenzangu akina Flano na akina Mkohoti sasa...
Kuwa mpole mkuu, ngoja game 5 ndio nitaweza mzungumzia vizuri.Unaona kitu gani.. straika anakimbia na mpira huku anaangalia chini.
Opponents wetu UEFA champions league
Bayern Munich (H), Inter (A), Atleti (H), Club Brugge (A), Olympiacos (H), Slavia Praha (A), Kairat Almaty (H), Athletic Club (A).
Kuna visasi vya kuwalipa Bayern na Inter. Hao wengine tuwachape tu kishikaji.Opponents wetu UEFA champions league
Bayern Munich (H), Inter (A), Atleti (H), Club Brugge (A), Olympiacos (H), Slavia Praha (A), Kairat Almaty (H), Athletic Club (A).
Nimeipenda hii. Inapendeza sana.Wachezaji wa timu ya Kairat Almaty wakionekana kwenye furaha iliyopitiliza baada ya kuona timu yao imepangwa dhidi ya Arsenal ya uingereza.
View attachment 3456778
Timber na Zube je?kikosi cha kwanza bora msimu huu ,kila mchezaji akiwa timamu kimwili na kiakili..
raya
white
saliba
GM6
cala
nΓΈrgaard
rice
ΓΈdegaard
saka
eze
gyΓΆkores.
Kuna timu zinaweza kutushangaza MkuuKuna visasi vya kuwalipa Bayern na Inter. Hao wengine tuwachape tu kishikaji.
Zipi hapo Mkuu?Mechi zenye ushindani ni mbili tu
Msajilini mkuu...on time j2 awepo.... Visingizio hatutaki....sijui mara Konate mara Jones fala....View attachment 3456780
πππππ........Hii picha inatisha sana ππππππ
Timber na Zube je?