Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yea. White akiwa fit kwenye game kama hii tunamuweka White RB na Timber LB. Nafikiri kama White alimmudu Doku, basi Ekitike atawezana nae pia. Tumuache Timber ale sahani moja na Mo Salah. Salah akihamia LW, Timber anamfuata huko huko. Mbona yule farao maji atayaita mma...
 
Kuna watu wao macho yanaona makosa tu, hawaangalii mazuri.
 
Dah!, wanangu nikiangalia nyie muna Saliba halafu nikigeukia kule kwetu tuna Ibu Konate naumia sana. tugawieni hata Mosquera
Unaishiwa PAWA kabisa sio😀😀😀....nilivyoangalia mechi yenu jana nikawa nasema hiiiiiii😀😀😀....j2 tunakuja shehe....mkicheza kama jana mmekwisha ndugu zangu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…