Huyu nilishaamini kuwa anaenda Sp*rs, then ghafla bin vuu nasikia tumevamia dili la Sp*rs na tunamchukua sisi. Sikuamini. Nilifikiri ni Photoshop imetumika kuedit na kuweka "here we go" ya Romano.God is good bro ...arsenal wameamua kutumia hela sa hiv
Spurs wanamchukia Eze kama Liverpool wanavyomchukia Zubimendi, ama shoga yao manyumbu wanavyomzomea Gyokeres, wengine walichukua ligi, wengine walichuana europa, nasi hatukupata kitu, but wachezaji wanatupenda.Huyu nilishaamini kuwa anaenda Sp*rs, then ghafla bin vuu nasikia tumevamia dili la Sp*rs na tunamchukua sisi. Sikuamini. Nilifikiri ni Photoshop imetumika kuedit na kuweka "here we go" ya Romano.
Hahaha naona arteta sasa ana kila sababu ya kufukuzwa msim ujao kama tim haitokua na matokeoHuyu nilishaamini kuwa anaenda Sp*rs, then ghafla bin vuu nasikia tumevamia dili la Sp*rs na tunamchukua sisi. Sikuamini. Nilifikiri ni Photoshop imetumika kuedit na kuweka "here we go" ya Romano.
Wirtz wamepigwa, Hilo mbona lipo waziNikuulize tuaache ushabiki pembeni kati ya Eze na yule mchezaji mlimsajili kwa euro 150m nani mchezaji mzuri,ukiacha mashuti yule whichz ana nini cha ziada ?
WIVU MBAYA ASEEEashukuriwe muumba, takataka Eze kasign Arsenyani.
siyo wivu, ila ukweli ni kwamba sababu ya Aliteta kuwa fired ishapatikana. Kwanini tusienjoy.WIVU MBAYA ASEEE
Na mwishoe mkaliwa kimojaπHatimae baada ya mechi zake saba akiwa na Arsenyau leo Kokores amebahatisha kufunga goli la kwanza kwa kichwa (free header)
Arsenyau nawakumbusha tu tarehe 17 msipoleta timu uwanjani tutawafata hukohuko kwenu.
Old Trafford sasa hivi ni fireView attachment 3436931
Neno yetReporter: βCan I mention the three-letter word?β
Mikel Arteta: βAre you gonna say βMumβ?β
Reporter: βEze.β
Mikel Arteta: βYes. Nothing to comment, I can never talk about any player that is not part of our club yet!β