Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nani aliongeza pesa akaondoka....nikumbushe mkuu nimesahau kama yupo....makombe yanakuja mkuu ila sio Carling cup...lile ni kombe la ndondo cup....na ile ndo mara ya kwanza na mwsho kwa nyny kunyanyua kwapa tena....baada ya miaka 10 ijayo ndo mtapata tena Carling cup
 
Kumfunga nyumbu ndio kombe letu sasa . Yaaan mna tapa tapa .. arteta amewafunga sana . Nyumbu mmekuwa wake zetu siku hizi.


alaf tumewabadilishia style . Kona chumaa , kona goal,hii ina wauma sana


Tulikuwa tukija apo OT tunacheza mpira mkubwa mwisho wa siku mnatufunga .. sasa hv chezen nyie alaf tunawafunga sisi



Nlikuwa naskia mchezaji kavaa jez no 10 .. commentator anasema kunya kunya , alaf mchezaj hanyiπŸ˜…πŸ˜…


Fulham 3 - 1 nyumbu

Hamtakiw kuwa na furaha mpk dunia inaisha
 
Mwisho wa ligi msimamo unakua hivi
1
2 ARSENAL NETFLIX
3
4
5
 
Netf
Simkubali kabsa Arteta.

Ila kumfunga nyumbu kwangu ni furaha kubwa kuliko hata kubeba Uefa.
Netflix arsenal muishi kwenye dunia yenu maana mlipata kocha anayewafaa ili baada ya ligi kuisha na msimamo kuwa hivi
1
2ARSENAL NETFLIX
3
4
5
Itatusaidia tuendelee kuwa kela zaidi.
 
Woyooooo Ezeeee is here,nimeridhika Na usjali Sasa Na nimesamehee kuondoka Kwa partey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…