Daaah nlitabiri vice versaKesho itakuwa mechi ngumu...
Mtaongoza possession lkn point tatu tutachukua sisi
Hii tutafanya Kwa man city.ikawa kinyume bna ha ha haaaaaa
Ø jana ni mchezaji bora kwa upande wetu, achilia mbali makosa machache aliyofanya, infact Ø wa jana ningependa kuona muendelezo ule, hali ya kujiamini na ku take risk imerudi kwake, good.Hongereni...arteta alikuwa vizuri na game ame win kikatili sana km Mourinho sometimes inatokea na kumbuka hii ni big matches.
Man united Huwa tunakuwa Bora na team zenye playing style kama yenu mfano man city anaweza akafa akija OT.
gyokeres awe anaanzia benchi ana pressure ya kuprove uwezo wako hasa record yake ya msimu uliopita ya G/A 67...awe makini hasa kocha ndio anapaswa kumuongoza na kumshusha pressure.
martin odergad muwe naye makini asiwacheleweshe kufika mnakotaka
Naamini au tutoe kuamini, najua team yoyote inaweza kubeba EPL kasoro Arsenal tu. Arsenal hatakaa abebe ubingwa unalijua hilo ila umeamua kukaza fuvu ikifika May unaliachia fuvu lipoee 😂Tutaendelea kubishana na watu wa Cheltako na Manunu hmu ndani..sio nyukesto shehe....katika watu ambao Huwa siwafikirii ni nyinyi mna mnajulikana mwendo wenu.....Watu wanaacha mnalea mtu halafu wanakuja kienyeji kumteka....mchezaji kukataa kucheza akiwa na contract ya miaka 3 ni dhereu kubwa mno......msimu ujao na ka Gordon Nako katakaza makalio kanataka kundoka....tqfuta mtu wa Nottingham forest ndo ubishane naye sio hmu shehe
Mkuu linapokuja suala la Ulaya yaani UEFA Huwa nakaa kimya kwasababu huko Sina history nzuri ila hii ligi ya ndani tutaongea sana maana Kila pahala tumegusa kombe na sasahivi tunasakamana na watu pale juu...nyukesto mlijitahidi kukimbiakimbia hii miaka 2 kutaka kukaa pale juu na Hili ni kosa la Manunu ile nafasi mliyopo ilitakiwa awepo Manunu pale....sasa wakubwa wanakuja wananyofoa wachezaji hata wale wanaobeba timu....kaanza Isak next Gordon baadae Bruno....hii inaonesha ww BDO ni bwana mdgo sana....huna influence ya kutosha...kama kwa kutulia bwana mdgoNaamini au tutoe kuamini, najua team yoyote inaweza kubeba EPL kasoro Arsenal tu. Arsenal hatakaa abebe ubingwa unalijua hilo ila umeamua kukaza fuvu ikifika May unaliachia fuvu lipoee 😂
Mtu wa chelsea unabishana nae nini sasa ww arsenal ?team ina world club cup 2 , uefa champion2 chelsea haijawahi kuwa league yenu, ww upo na sisi huku wote tuna zero 🏆
Ligi ya ndani unaongelea nini mkuu?? Jana nilikua nacheki ball lenu ila kabla ya match kulikua na mabishano asee ni ngumu sana kuitetea arsenal .Mkuu linapokuja suala la Ulaya yaani UEFA Huwa nakaa kimya kwasababu huko Sina history nzuri ila hii ligi ya ndani tutaongea sana maana Kila pahala tumegusa kombe na sasahivi tunasakamana na watu pale juu...nyukesto mlijitahidi kukimbiakimbia hii miaka 2 kutaka kukaa pale juu na Hili ni kosa la Manunu ile nafasi mliyopo ilitakiwa awepo Manunu pale....sasa wakubwa wanakuja wananyofoa wachezaji hata wale wanaobeba timu....kaanza Isak next Gordon baadae Bruno....hii inaonesha ww BDO ni bwana mdgo sana....huna influence ya kutosha...kama kwa kutulia bwana mdgo
Haya yakina Isak tuache tutayamaliza wenyewe, ngoja atue kwanza wissa Au nkunku Then atauzwa tu.Mkuu linapokuja suala la Ulaya yaani UEFA Huwa nakaa kimya kwasababu huko Sina history nzuri ila hii ligi ya ndani tutaongea sana maana Kila pahala tumegusa kombe na sasahivi tunasakamana na watu pale juu...nyukesto mlijitahidi kukimbiakimbia hii miaka 2 kutaka kukaa pale juu na Hili ni kosa la Manunu ile nafasi mliyopo ilitakiwa awepo Manunu pale....sasa wakubwa wanakuja wananyofoa wachezaji hata wale wanaobeba timu....kaanza Isak next Gordon baadae Bruno....hii inaonesha ww BDO ni bwana mdgo sana....huna influence ya kutosha...kama kwa kutulia bwana mdgo
Endelea na utabiri mkuu unaweza kukusaidiaHii tutafanya Kwa man city.
Unaambiwa Mikel Arteta kashinda mechi 8 kati ya 12 dhidi ya Nyumbu, hapo toa zile za kusare, unadhani watampenda wale mabwana? lazima tu wamchukie